Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Nashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..

Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.

Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
Ccm si wamezoea biashara ya kila siku, tulipo sema ccm ilishafutwa kiutawa na Mungu hamkuelewa, sasa endelea kuwa na matumaini ya vyambo vya dola, hakuna dola iliwahi shindana na Mungu ikashinda ,likitimia limetimia
 
Nashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..

Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.

Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
Ngorongoro mumeshuhudia nini Cha ajabu ambacho hamjawahi shuhudia?

Chadema Kwa kujifariji mko vizuri sana.
 
Nashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..

Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.

Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
Inshallah CCM ishakufa hao mbwa wasitarajie chochote, iwe vita au sanduku la kura wataondoka mbwa hao
 
Daah serikali inakosea sana kuwaondoa Masai Ngorongoro kwasababu na wao ni sawa tu na nyara za serikali inatakiwa walindwe ili utamaduni wao usipotee maana baadhi ya watalii wanakuja kuwaangalia Masai tu
Maasai lazima waondoke Ngorongoro kulinda Hifadhi regardless what, Hifadhi sio malisho ni urithi wa Nchi na Dunia.
 
Tumeshayaona haya hapa kabla na tukaonya kupitia huu mtandao wa JF.

Soma huu uzi:

Nashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..

Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.

Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
Sasa ulichoshuhudia ni kipi?
 
Msipende kuwatafutia umaarufu wajinga. Kitenge ni kitu gani hata umlinganishe na Lisu?

Natamani msiendelee kumjadili huyu MPUMBAVU WA TAIFA
Nimeshangaa sana page ya watetezi tv imepost Tundu akiwa mkutanoni na wanchi tele
Huku kitenge tv imeweka eti jamaa amefika hajakuta mtu hata mmoja uwanjani

Huu ujinga tutaacha lini? Hizi njaa za vi online tv ni aibu sana
 
Back
Top Bottom