Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Nashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..

Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.

Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
Mtaminywa kende wote mnaopinga. Mkataba wa bandari tulishamaliza ni utekelezaji tu. Sema lingine. Dkt Samia Oyee
 
Mambo yanavyokwenda muda ni mwali,ccm kaeni na Lissu mezani mkubaline jinsi ya kumkabidhi nchi,mazunguzo yaanze malamoja, mpe mashariti magumu ya kutowashitaki kwa matumizi mabaya ya madaraka, msione aibu nijambo la kawaida mtabaki na heshima msigoje dakika za lala salama,anzama mapema chukueni mkataba wenu utawasaidia huko mbeleni,mazunguzo yasiwe siri sisi raia tutakuwa mashahidi mbinu na wapa,Lissu ni Mandela wa Tanganyika.
Huu ni ushauri mzuri kuliko waendelee kukaza fuvu.

Hii nguvu ya Lissu sio ya kawaida.
 
Nachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro

Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina

Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Ujumbe umeshafika. Mavideo na mapicha yanazunguka huko mtandao wa X
 
Ningeshangaa kufika muda huu bila kuwepo taarifa hii.
Polisi ilikua imekataza mkutano na ujio huo wa Bwana Lissu lakini nadhani wameshauriana wakabidi wa muache.Huu sio ushindi wa Lissu bali ni ushindi wa watanzania kupitia jeshi la polisi. Kubadirisha maamuzi ya kwanza kunaonyesha ni jinsi gani polisi inavyo ona mbali sana ingawa wangekua na uwezo wa kumzuia na akuna mtu ambaye angeweza kuishinda polisi. Polisi wajua Mh.Lissu kipi anatafuta,kipi anataka na kwanini yupo hivyo.Polisi aitaki lawama,atafanya mkutano,ataongea na maisha yataendelea.
 
08 September 2023
Ngorongoro, Tanzania

LIVE: Ololosokwan Ward, Ngorongoro, Tanzania The first meeting of Operation +255


View: https://m.youtube.com/watch?v=lkdsG7HDqiU


The vice-chairman of CHADEMA Hon. Tundu Lissu accompanied by CHADEMA leaders opened their first meeting with the local people in Ololosokwan Ngorongoro ward and various issues on land right issues, human rights and democracy were discussed. CHADEMA have dubbed their ongoing country wide meetings as Oparesheni +255 aiming to up citizens awareness on issues of good governance, human rights, people centred development, new constitution and fair elections at all level.


LIVE : Kata ya Ololosokwan, Ngorongoro , Tanzania Mkutano wa kwanza wa Oparesheni +255
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=lkdsG7HDqiU

Ngorongoro leo 08 Sept. 2023
makamu mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Tundu Lissu akiongozana na viongozi wa CHADEMA wafungua mkutano wa kwanza na wananchi katika kata ya Ololosokwan Ngorongoro.
 
Nachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro

Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina

Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Kipindi JPM akiwatetea wanyonge chadema ilikuwa upande wa mabeberu kwaiyo acheni siasa za kinafiki
 
You are everywhere and you know everything.
U gallivant day and night.
Support CCM here defend them there.
Throw insults at people for no reason....
You no get work or are you this JOBLESS?
Kiingereza cha kipumbavu sana, badala ya kwenda shule unajiaibisha hapa.
 
Back
Top Bottom