Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tunamuombea, ingawa mfumo ulowekwa na waasisi hautoi nafasi kiongozi Kutoka nje ya chama kile kukalia KITI kile,

Na Ishara zote zinasoma kuanguka Kwa chama chakavu kutakuwa Si Kwa Amani.

Tunaendelea kuomba Ili wananchi wasio na HATIA wasipitie mtikisiko huo mkubwa.

Si mbali ni hapo tu 2024/2025!!
Hakuna ukombozi bila damu
 
Nachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro

Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina

Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
 
Hii imeenda!!!
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Hivi we bwege utaacha lini kukaa kusifia wanaume wenzio kila siku.
Kwa kishindo kipi na huyo bwegeza mwenzio.
Ndio maana hii nchi inakua maskini kila siku.
Unatumia muda mwingi kuandika ufyolo hapa badala ufanye kazi.
Muulize kwanza huyo unamsifio huko alipewa ukimbizi wanaishije.
Muache Ulofa
 
Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Kwani tulishtakiwa Makesi mangapi mpaka ndege zikawa zinakamatwa??hukumuona yule Profesa Mruma mwezi uliopita alivyopigwa maswali Mahakamani mpaka akawa anatia huruma
 
Nashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..

Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.

Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
 
Bora ubabe uliokuwa unatumika kipindi cha JPM kwa sehemu kubwa ulikuwa ni kwa maslahi ya nchi na wananchi. Kipindi hiki nguvu kubwa na ubabe unaotumika ni kwa maslahi ya WAARABU na walamba asali. Leo wamekamatwa Simba na Chui wameshakaushwa Australia kutoka KIA box kwa juu limeandikwa ROCK anakuja k.enge mmoja anaitwa FOX.Y🦊 Faizer anatetea hadi huo ujangili. Kusema kweli sijui hii nchi inaelekea wapi.
 
Back
Top Bottom