Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Etwege, usibaki gizani, Lissu hakuwa msaliti hisipokuwa alitoa taadhari ya kuvunja mikataba kiholela. Sasa hivi yanatupata. Wasaliti ni wale wanasheria waliomudanganya jpm
 
Huku Ngorongoro yule Mwamba wa Siasa za Tanganyika na Afrika kwa ujumla sasa atafahamika kama ifuatavyo.

Laigwanan Tundu Ole Lissu.

Tafadhali sana kila mara unataka kumtaja au kumwandikia barua au email usisahau kutaja majina yake rasmi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkuu.

Ngongo kwa sasa Ngorongoro
 
1694182635349.png
 
duh! Kiingereza cha wapi hiki? Mi darasa la nne la miaka hii sijaambulia kitu
😂😂 Nakumbuka, niliwai mwandikia mtu hivi.. I met this lady when she was pregnant with her son".
Jamaa akacheka akauliza kama ulivyo uliza wewe, Sikutaka ku-argue na sikuwa na cha kuongea wala kupunguza.
Shida inaanza pale unasoma kiingereza uku ubongo umeegeza kwenye kiswahili. 🙂
Nb:- hata darasa la kwanza hakuna hapa.
 
Huku Ngorongoro yule Mwamba wa Siasa za Tanganyika na Afrika kwa ujumla sasa atafahamika kama ifuatavyo.

Laigwanan Tundu Ole Lissu.

Tafadhali sana kila mara unataka kumtaja au kumwandikia barua au email usisahau kutaja majina yake rasmi.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkuu.

Ngongo kwa sasa Ngorongoro
Na mimi naitwa Bush Ole Dokta.
 
😂😂😂😂😂
Mzee Bwana Laigwanan Tundu Ole Lissu.😂😂😂😂
Kwa leo, nitampa heshima yake ya siku hii moja tu, gloves off😁 kwa kuenda kutetea haki ya Ndugu zetu Wamasai.
Wamasai ni wahanga wa Serikali ambayo imeahindwa kuwapa haki ya kumiliki na kuishi katika ardhi yao. Ni muhimu kuwawajibisha wale walio madarakani kwa matendo yao na kutetea haki za Jamii zilizotengwa.

Ni kwa hayo ninaungana na Mzee Bwana Laigwanan Tundu Ole Lissu.

Aluta Continua
 
kwanini wamasai wanampenda sana Tundu Lissu kiasi hiki?
CV za Boniface Mwabukusi, Tundu Lissu, Peter Madeleka ...na wengine wengi zaonesha wamelowea, wamekulia, wamesoma shule n.k huko kaskazini hususan Arusha

1694185098743.png

Mh. Tundu Antipas Ole Lissu akiwa kata ya Ololosokwan Ngorongoro Tanzania
 
Back
Top Bottom