SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Chukua kopo wahi maliwatoni kwanza ukatoe janaba ndiyo urudiAcha kupotosha. Hapo sio Ngorongoro. Hizo picha ni za Monduli. Unapata faida gani kudanganya umma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua kopo wahi maliwatoni kwanza ukatoe janaba ndiyo urudiAcha kupotosha. Hapo sio Ngorongoro. Hizo picha ni za Monduli. Unapata faida gani kudanganya umma?
Mungu daima yupo kazini mkuuTumamuombea, ingawa mfumo ulowekwa na waasisi haitoi nafasi kiongozi Kutoka nje ya chama kile kukalia KITI kile,
Na Ishara zote zinasoma kuanguka Kwa chama chakavu kutakuwa Si Kwa Amani.
Tunaendelea kuomba Ili wananchi wasio na HATIA wasipitie mtikisiko huo mkubwa.
Si mbali ni hapo tu 2024/2025!!
Wewe huyo tena?Chadema ni mpango wa mungu
Aliwapa process nzuri mno za kisheria ya kusitisha mikataba ambao ipo binded by law, ila ninyi kwa sijui tuite ushamba mkukurupuka mkashika makontena ya makinia kienyeji, mkitegemea mtalipwa hizo $ Trillions mbili - Swali mmepata ngapi hadi sasa hvi ?Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Nakala nyingine kwa:Lucas Mbwa Wa ShambaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.
View attachment 2743175
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Amen,Mungu daima yupo kazini mkuu
Yaan wewe ni mbulula Sana. Kwani hatukushtakiwa.? Yaan ufunge na mtu mkataba kisheria halafu uuvunje kienyeji hata kama ni WA kinyonyaji. Kipindi ccm yenu hiyo inausain haikujua kua ni WA kinyonyajiKinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Badala ya kupata sasa wao ndiyo wanafanya kazi ya kugomboa ndege za watanzania mara zinapokamatwa kwa madeni huko nje.Aliwapa process nzuri mno za kisheria kama unataka kusitisha mikataba ambao ipo binded by law, ila ninyi kwa sijui tuite ushamba mkukurupuka mkashika makontena ya makinia kienyeji, mkitegemea mtalipwa hizo $ Trillions mbili - Swali mmepata ngapi hadi sasa hvi ?
tndio nawewe ndiyo kitu gani?Akufinde tndio nini?
Huyo Lucas mwacheni tumeshakubaliana kum ignore.Nakala nyingine kwa:Lucas Mbwa Wa Shamba
Wacha watupeleke maana hao hao bado wana ndugu zao hapa hapa bongoAmen,
Ila tuombe serious juu ya familia yetu, maana chama chakavu kikiamua kutupeleka civil war kina uwezo huo.
Tuombe sana tusifike huko. Waongozwao Kwa amri Huwa hawalijui Hilo kabisa, Huwa hawakumbuki mama au watoto, ni amri Kwa amri bas!!Wacha watupeleke maana hao hao bado wana ndugu zao hapa hapa bongo
Mungu ni mwema kila maraTuombe sana tusifike huko. Waongozwao Kwa amri Huwa hawalijui Hilo kabisa, Huwa hawakumbuki mama au watoto, ni amri Kwa amri bas!!
Maombi Yana uwezo kubadili yote.
AmenMungu ni mwema kila mara
Sobhaiiii rafikiSerikali ilitizama kwa macho ya nje kufikiri kuwa katika jamii za watanzania kabila la wamasai ndilo primitive .
Wakaona eneo lao ndilo la kuwauzia wageni na masai akafie mbali.
Hoja hapa ingeliweza kuwa ni kulinda mazingira/ ngara lakini sasa sii hoja maana inakuaje uhamishe watu katika eneo ili uwarithishe watu wengine eneo lilohilo?
Unaondoa wanasai unarithisha waarabu.
Wamasai pambanieni ardhi ya mababu zenu maana hapo ndipo mnapoweza hata kufanya tambiko. Mizimu ya wagosi kule Handeni mnakulazimishiwa haiwatambui ninyi.
Rabbon na Etwege, ni Bora Sana kama mmegundua ukweli. Tangu mwanzo kabisa Lissu hakuwai kuwa upande wa Beberu yoyote akiwemo huyo Acacia, hisipokuwa alikuwa mwangalifu sana kwenye kuvunja mikataba na akaishahuri serikali kama mbuge na mwanasheria.Hukumwelewa, mm pia nilikuwa nikimwona msaliti,
Lakini nilipofuatilia HOTUBA zake bungeni, niligundua alikuwa akishauri sirikali kuangalia mikataba Nchi yetu iliyosaini kimataifa kabla ya kuchukua uelekeo huo kufuta mikataba Kwa Kukurupuka.
Magu hayupo, Lisu yupo, ni mpango wa Mungu ,
Ukiona polisi wanatoa zuio, akisogea wanakaa pembeni, jua hazuiliki, ni kama tu Odinga.
Tumtumie Kwa Maslah mapana ya nchi[emoji120][emoji120]
Ameen ameenTunamuombea, ingawa mfumo ulowekwa na waasisi hautoi nafasi kiongozi Kutoka nje ya chama kile kukalia KITI kile,
Na Ishara zote zinasoma kuanguka Kwa chama chakavu kutakuwa Si Kwa Amani.
Tunaendelea kuomba Ili wananchi wasio na HATIA wasipitie mtikisiko huo mkubwa.
Si mbali ni hapo tu 2024/2025!!
Nothing more,nothing less. Upendo wa Lissu kwa wanyonge unamlipaLissu anaonesha upendo na kuwajali watu, nao wanampenda na kumjali. Hakuna haja ya kuwa na wivu.