Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Mnajisumbua kweli
 
Ghadhabu sio kwa Wamasai tu bali ni kwa Watanzania Bara wote Mafuta bei juu Maisha yamepanda sana huku Mitaani.

Hali ni mbaya sana huku Mitaani lakini wao wanazidi kutengeneza mazingira ya kupiga fedha kwa kuagiza Mitumba.

Mafuta Zanzibar ni bei rahisi lakini huku Bara ni ghali.

Ni wakati muafaka wa kuikataa CCM hadi Donars na Patners watuelewe.
 
Aisee so nisiwe na uhuru wa kucomment popote who are you?? What are you doing ?? This Tanzania where everything is possible to have
Nenda huko kwenye mada za utamu... unachukia vyama vyote vya siasa na upo jukwaa la siasa? Huku huwezi wapata unaowatafuta huku ni wagumu.com au nenda tiktok
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Mungu wa mbinguni akubariki Erythrocyte 😀😀
 
Hadi mbunge wa ccm Ngorongoro na madiwani wake walilalmika sana lakini serikali ya ccm kwa maslahi binafsi hawakusikiliza.
Walimsweka Ndani Mbunge huyo hivi Karibuni. Ngoja nimpe maua yake mapema kwa kujiunga na nguvu ya wafanyabiashara na umma wa "Kariakoo". Wale watu walituonyesha ni jinsi gani tunaweza kupambana na Serikali isiyo Sikivu.

Wenzetu wanateseka sana. Aisee.
 
Ndivyo alivyoambiwa hata Nyerere wakati wa kudai Uhuru
Sasa nikwambie ukweli uliukate tamaa kabisa nchi yetu hainadini lakini wananchi wake wanadini kuna dini kuu mbili lakini sizitaji abazo kunamadhehebu mawili ndioyanatoa viongozi haya mazehebu 2 mpaka yatengane ndio frusa unayoota huenda ikakufikia lakini mpaka sasa chama chao ni ccm. Hatawakati wakuomba Uhuru walimuunga mkono nyerere ndio akapata
Roma wala sun hawawezi kuunga mkono chadema sio chama chao mengine fikiria na uchunguze.
 
Mbunge wa Ngorongoro angeungana na viongozi chini yake kurudisha kadi za chama chakavu!!
 
Mbunge wa Ngorongoro angeungana na viongozi chini yake kurudisha kadi za chama chakavu!!
Piga magoti omba kwa ajili ya mtanzania huyu ambae Mungu aliamua kukaa upande wake daima azidi kuwa nae hata siku moja tumuone akiwa kwenye kile kilele
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Dalali kijola
FB_IMG_1687274664760.jpg
 
Back
Top Bottom