Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Eti kapokelewa wakati inaonekana kabisa wanataka kumchapa na fimbo. Hakuna wakumzidi Dkt Samia
 
You are everywhere and you know everything.
U gallivant day and night.
Support CCM here defend them there.
Throw insults at people for no reason....
You no get work or are you this JOBLESS?

Kama huna maslahi na ccm unapata wapi nguvu cha kukitete chama hiki kilicho baki kuwa genge la walaghai na wanyanganyi,mana hata walio na maslahi nao wanajua fika chama hakipendwi na wananchi ila wanakomaa kinafiki kulinda maslahi yao tu.
 
Moderator pandisha video hizi, Haya ni mapokezi ya mpigania uhuru aisee.

Ee Mwenyezi Mungu mbariki, mlinde, na umnyanyue Tundu Lissu kiinuo kikubwa na umlinde dhidi ya hila zote mbaya dhidi yake.

Eee Mwenyezi Mungu tuondolee duluma na ubabaishaji katika nchi yetu
Aaaamin

View attachment 2743163
Lissu ameacha historia Nchi hii ya Kutetea wanachi kokote anakoenda ni Mshindi
 
You are everywhere and you know everything.
U gallivant day and night.
Support CCM here defend them there.
Throw insults at people for no reason....
You no get work or are you this JOBLESS?
Muda mwingine mnajitakiaga kudharauliwa sasa wewe na hiki ni kingereza au kilugha cha kwenu ?

Unajua sisi wenye elimu kubwa mara nyingi hatupendi kujionesha jifunze kwangu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Moderator pandisha video hizi, Haya ni mapokezi ya mpigania uhuru aisee.

Ee Mwenyezi Mungu mbariki, mlinde, na umnyanyue Tundu Lissu kiinuo kikubwa na umlinde dhidi ya hila zote mbaya dhidi yake.

Eee Mwenyezi Mungu tuondolee duluma na ubabaishaji katika nchi yetu
Aaaamin

View attachment 2743163
Lissu is a victor

Bishop Josephat
 
Lisu wash Moto had asbh hutubia

Ila hyo mimisaai ikija kuongwa vinganga na CCM Wana msahau lisu
 
Back
Top Bottom