Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Kufukuzwa kwa lazima kwa watu wa kabila la Wamasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ni suala zito ambalo limekuwa likilaaniwa mara kwa mara na mashirika ya haki za Kibinadamu na baadhibya Watanzania/Watanganyika wapenda haki.

Kiufupi, Wamasai ni wahanga wa Serikali iliyo "ziba masikio" pamoja na makampuni ya uwekezaji ya Waarabu ambao wameshindwa au kwa makusudi yasioelezeka, kuwapa haki Wamasai kubaki katika ardhi yao.

Vilevile, ni muhimu kutambua kwamba watu wa kimasai sio wahusika wa vurugumechi hizi.

Zaidi ya hayo, ni muhimu sana kwamba tuachane na imani zetu za Kisiasa pamoja na itikadi zake/zetu na kuanza kupambana na Serikali hii ovu. Tuangalie tusije tukawa waathirika sawa katika Vijiji vyetu, katika ardhi za mababu zetu.

Walaaniwe wote waliokuwa na mkono katika suala hili.

Katika suala hili, naungana mkono na Mzee Bwana Tundu Lissu.

Aluta Continua
 
Moderator pandisha video hizi, Haya ni mapokezi ya mpigania uhuru aisee.

Ee Mwenyezi Mungu mbariki, mlinde, na umnyanyue Tundu Lissu kiinuo kikubwa na umlinde dhidi ya hila zote mbaya dhidi yake.

Eee Mwenyezi Mungu tuondolee duluma na ubabaishaji katika nchi yetu
Aaaamin

View attachment 2743163
Ni Tundu Lissu aliyeamua kujitoa kwa ajilo ya wanyonge Halisi wana wa Tanzania.

Hard working and respect pays.

Ipo siku Tundu Lissu yule aliyemwokoa na Kifo kwenye T
tundu la Simba atafanya miujiza juu yake.
 
Kufukuzwa kwa lazima kwa watu wa kabila la Wamasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ni suala zito ambalo limekuwa likilaaniwa mara kwa mara na mashirika ya haki za Kibinadamu na baadhibya Watanzania/Watanganyika wapenda haki.

Kiufupi, Wamasai ni wahanga wa Serikali iliyo "ziba masikio" pamoja na makampuni ya uwekezaji ya Waarabu ambao wameshindwa au kwa makusudi yasioelezeka, kuwapa haki Wamasai kubaki katika ardhi yao.

Vilevile, ni muhimu kutambua kwamba watu wa kimasai sio wahusika wa vurugumechi hizi.

Zaidi ya hayo, ni muhimu sana kwamba tuachane na imani zetu za Kisiasa pamoja na itikadi zake/zetu na kuanza kupambana na Serikali hii ovu. Tuangalie tusije tukawa waathirika sawa katika Vijiji vyetu, katika ardhi za mababu zetu.

Walaaniwe wote waliokuwa na mkono katika suala hili.

Katika suala hili, naungana mkono na Mzee Bwana Tundu Lissu.

Aluta Continua
Hadi mbunge wa ccm Ngorongoro na madiwani wake walilalmika sana lakini serikali ya ccm kwa maslahi binafsi hawakusikiliza.
 
Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Kwani ni uongo na sio Acacia tu ni makampuni zaidi ya 10 and so far tumelipishwa billion 800 za kitanzania kwenye kesi 4 pekee!! Lissu anaona mbali sana sio kama nyie walamba miguu. Mruma uliona alivyokua anababaika kujibu maswali kule ICSID? Haya Kabudi naye alikiri ripoti ilikua feki ila kipindi Lissu anaiita professorial rubbish mlisema kapotoka.

Lissu alistahili kuzaliwa mataifa ya juu kiupeo sio huku kwa nyie vil.aza
 
Eti nimemsikia wanasema wanaenda kuzungumza na Rais wao 😂😂😂😂

Nimecheka maana wamenikumbusha Rais wa mioyo yenu Lowasa 🤣🤣🤣🤣
Toka uchaguzi wa 2010, mgombea wa urais wa CCM amekuwa akitangazwa mshindi kwa kura za kupika. Na hiyo ni sababu ni wakati wa mabadiliko, na hakuna jinsi itawezekana kuzuia mabadiliko.
 
I hate all parties not CCM ,CHADEMA,CUF ALL PARTIES .

VYAMA VYOTE NA VICHUKIA
 
Watanzania wengi sasa wanaielewa sera za Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu inayosambazwa na CHADEMA

1694176378962.png

1694179335826.png

Oparesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari yaendelea nchini kote . Hapa ni Shiny anga
 
Ila unapenda mishedede sio? Hii nchi ina watu wa hovyo sana. Unatafuta nini huku jukwaa la siasa?
Aisee so nisiwe na uhuru wa kucomment popote who are you?? What are you doing ?? This Tanzania where everything is possible to have
 
Back
Top Bottom