Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Heheee wako bize na Katazo lao la polisi.Kumbe mnafuatilia[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheee wako bize na Katazo lao la polisi.Kumbe mnafuatilia[emoji16]
Wamasaia wamedanganywa muda mrefu wacha Muda uamue.Lisu wash Moto had asbh hutubia
Ila hyo mimisaai ikija kuongwa vinganga na CCM Wana msahau lisu
Mzee wa MIGA umerudi??
Ulioma shida aliyopata Prof Muruma??
Muwe mnamsikiliza Lissu muache kukaza Fuvu.
Ni Tundu Lissu aliyeamua kujitoa kwa ajilo ya wanyonge Halisi wana wa Tanzania.Moderator pandisha video hizi, Haya ni mapokezi ya mpigania uhuru aisee.
Ee Mwenyezi Mungu mbariki, mlinde, na umnyanyue Tundu Lissu kiinuo kikubwa na umlinde dhidi ya hila zote mbaya dhidi yake.
Eee Mwenyezi Mungu tuondolee duluma na ubabaishaji katika nchi yetu
Aaaamin
View attachment 2743163
Kwani uongo hatukushitakiwa? Hatujalipa mafaini? Magufuli alikua na nia njema kasoro yake alikua mpuuzi na mjinga wa kutupwa utafikiri hajawai ingia darasani.Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Hadi mbunge wa ccm Ngorongoro na madiwani wake walilalmika sana lakini serikali ya ccm kwa maslahi binafsi hawakusikiliza.Kufukuzwa kwa lazima kwa watu wa kabila la Wamasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ni suala zito ambalo limekuwa likilaaniwa mara kwa mara na mashirika ya haki za Kibinadamu na baadhibya Watanzania/Watanganyika wapenda haki.
Kiufupi, Wamasai ni wahanga wa Serikali iliyo "ziba masikio" pamoja na makampuni ya uwekezaji ya Waarabu ambao wameshindwa au kwa makusudi yasioelezeka, kuwapa haki Wamasai kubaki katika ardhi yao.
Vilevile, ni muhimu kutambua kwamba watu wa kimasai sio wahusika wa vurugumechi hizi.
Zaidi ya hayo, ni muhimu sana kwamba tuachane na imani zetu za Kisiasa pamoja na itikadi zake/zetu na kuanza kupambana na Serikali hii ovu. Tuangalie tusije tukawa waathirika sawa katika Vijiji vyetu, katika ardhi za mababu zetu.
Walaaniwe wote waliokuwa na mkono katika suala hili.
Katika suala hili, naungana mkono na Mzee Bwana Tundu Lissu.
Aluta Continua
Eltwege anaujua ukweli woote. Usimsikilize.Kwani uongo hatukushitakiwa? Hatujalipa mafaini? Magufuli alikua na nia njema kasoro yake alikua mpuuzi na mjinga wa kutupwa utafikiri hajawai ingia darasani.
Kwani ni uongo na sio Acacia tu ni makampuni zaidi ya 10 and so far tumelipishwa billion 800 za kitanzania kwenye kesi 4 pekee!! Lissu anaona mbali sana sio kama nyie walamba miguu. Mruma uliona alivyokua anababaika kujibu maswali kule ICSID? Haya Kabudi naye alikiri ripoti ilikua feki ila kipindi Lissu anaiita professorial rubbish mlisema kapotoka.Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Toka uchaguzi wa 2010, mgombea wa urais wa CCM amekuwa akitangazwa mshindi kwa kura za kupika. Na hiyo ni sababu ni wakati wa mabadiliko, na hakuna jinsi itawezekana kuzuia mabadiliko.Eti nimemsikia wanasema wanaenda kuzungumza na Rais wao 😂😂😂😂
Nimecheka maana wamenikumbusha Rais wa mioyo yenu Lowasa 🤣🤣🤣🤣
Ni wewe kweli mkuu au naota 😃Chadema ni mpango wa mungu
Tangu lini uliona chawa akawa na akili?Kila aandikaye kwa uono wako unamchukulia mtoto chawa wewe?
Ila unapenda mishedede sio? Hii nchi ina watu wa hovyo sana. Unatafuta nini huku jukwaa la siasa?I hate all parties not CCM ,CHADEMA,CUF ALL PARTIES .
VYAMA VYOTE NA VICHUKIA
Mwe!You are everywhere and you know everything.
U gallivant day and night.
Support CCM here defend them there.
Throw insults at people for no reason....
You no get work or are you this JOBLESS?
Aisee so nisiwe na uhuru wa kucomment popote who are you?? What are you doing ?? This Tanzania where everything is possible to haveIla unapenda mishedede sio? Hii nchi ina watu wa hovyo sana. Unatafuta nini huku jukwaa la siasa?
08 September 2023
Leo mapema ilivyoanza safari ya kuelekea Ngorongoro
View: https://m.youtube.com/watch?v=6jqrOwEJry8&