Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Kitenge wachana naye huyo kashakula mafao yake tayari.
 
Screenshot_2023-09-08-14-33-59-1.png
Screenshot_2023-09-08-14-34-03-1.png
Screenshot_2023-09-08-14-35-07-1.png
 
Huyu mwamba hizi online tv yake itakufa kifo kama cha media za Musiba tuu..

Anapost upumbavu mpaka mwenyewe huko aliko anaona haya...

Alichopost[emoji116]

Uhalisia[emoji116][emoji116][emoji116]

20230908_141303.jpg

20230908_141431.jpg

20230908_141337.jpg
 
Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Wewe akili zako ni za kifukara sana .
Tazama ni faini ngapi Tanzania tumelipishwa na makampuni mangapi kwa ujinga wetu?

Ndege zetu zimekamatwa mara ngapi kisa nchi inadaiwa?

Jiwe aliingiza nchi yetu sehemu mbaya sana.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .

Kwenye fimbo hizo pasije kuwamo na mbwa mwitu kwenye ngozi za kondoo ..
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai .

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .

We jamaa uwasilishaji wako huwa na uelewa sana eti morani wamepagawa[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom