Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.

View attachment 2743175

Nakala : Maulid Kitenge

Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Kitenge njaa zake zimechafua heshima yote aliyoijenga pindi akiwa IPP
 
Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Hukumwelewa, mm pia nilikuwa nikimwona msaliti,

Lakini nilipofuatilia HOTUBA zake bungeni, niligundua alikuwa akishauri sirikali kuangalia mikataba Nchi yetu iliyosaini kimataifa kabla ya kuchukua uelekeo huo kufuta mikataba Kwa Kukurupuka.

Magu hayupo, Lisu yupo, ni mpango wa Mungu ,

Ukiona polisi wanatoa zuio, akisogea wanakaa pembeni, jua hazuiliki, ni kama tu Odinga.

Tumtumie Kwa Maslah mapana ya nchi🙏🙏
 
Jikaze kwa kuendelea kuonesha miujingaujinga yako.List ya mipumbavu mitatu wa JF haukosekani wewe.
Dah aisee basi wewe ndiye huelewi. Wakati watu kibao wanakuja inbox kunipongeza tena wanafurahia mno. Tumpe Dkt Samia ushirikiano.
 
You are everywhere and you know everything.
U gallivant day and night.
Support CCM here defend them there.
Throw insults at people for no reason....
You no get work or are you this JOBLESS?
duh! Kiingereza cha wapi hiki? Mi darasa la nne la miaka hii sijaambulia kitu
 
Dah aisee basi wewe ndiye huelewi. Wakati watu kibao wanakuja inbox kunipongeza tena wanafurahia mno. Tumpe Dkt Samia ushirikiano.
Kati ya wanadamu walioharibikwa wewe ni mwenzao yaani na akili zako unakubali kujiita chawa?
 
Piga magoti omba kwa ajili ya mtanzania huyu ambae Mungu aliamua kukaa upande wake daima azidi kuwa nae hata siku moja tumuone akiwa kwenye kile kilele
Tunamuombea, ingawa mfumo ulowekwa na waasisi hautoi nafasi kiongozi Kutoka nje ya chama kile kukalia KITI kile,

Na Ishara zote zinasoma kuanguka Kwa chama chakavu kutakuwa Si Kwa Amani.

Tunaendelea kuomba Ili wananchi wasio na HATIA wasipitie mtikisiko huo mkubwa.

Si mbali ni hapo tu 2024/2025!!
 
Back
Top Bottom