Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Maulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana

Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana

Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?

Mlale Unono!
Msipende kuwatafutia umaarufu wajinga. Kitenge ni kitu gani hata umlinganishe na Lisu?

Natamani msiendelee kumjadili huyu MPUMBAVU WA TAIFA
 
Ukipata "endorsement" kutoka kwa Maasai, basi tambua kuwa ni ya dhati kabisa kutoka katika mtima wa mioyo yao iliyopondeka kwa maumivu mengi. Ukiona wakikupa maua yako hadharani, basi tambua kuwa wewe ni zaidi ya mtu na nusu.

Maasai hawajui kurembaremba, kama beleshi huliita beleshi, na kijiko hukiita kijiko. Lissu zidi kukamatia hapo hapo mpaka nyani ateme bungo kinywani mwake.
 
Nashukuru wamasai wamefikisha ujumbe CCM kwamba wanayotutendea watanganyika hayakubaliki Duniani na Mbinguni..

Ujumbe wa leo unatupeleka 2025 kwenye kivumbi na jasho ama kweli Mchengerwa kazi anayo.

Tuombe uzima. Tushuhudia wote anguko la CCM. 2025.
HatupoNgorongoro mkuu,ebu dadavua Kwa undani
 
Binafsi Mimi miongoni mwa wanao mkubari mama 90% na choomba mama sela yake ya kugeuza magereza kua vyuo vya ufundi na walimu kutoka Veta na ujenzi wa Veta Kila Kijiji Hayo mambo mengine yakuzidi kutuaminisha watanzania Wote tumeguswa na swala la Bandari sio kweli kwa sababu Ifike mahali Sasa Tumuunge mkono raisi wetu kwa kuhakikisha Watanzania Tunakua na taluma na sio Ubabaishaji.
 
Back
Top Bottom