Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

Very simple to understand. Maulid anasinamia waondoke, Lisu anawatetea sasa inategemea wmasai wanataka nini.
Pili, wanaweza kumshangilia kitenge kwa kuwa wanameona kwenye vipindi vyake na sasa wamemuona love. Kwa Lisu ni mtetezi wao na hiyo ndio tofauti!
 
Yaani masai ni uharibifu Ngorongoro lakini mwarabu ni mhifadhi ?!. Akili ndogo sana
Ndgu angu yule masai c yule wa zamani.huyu amekuwa mhuharibifu ana mifugo mengi anakula wanyama pori.fikiri tufuge ngombe au wanyama
 
Kinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Sasa alichokisema TL wakati ule sindio kimetokea majuzi hukuona akina Prof Mruma wakisulubiwa na mabeberu kule Marekani, Tz inatakiwa kulipa zaidi ya bilioni 100 za kitanzania fidia ya kuvunja mkataba wa madini!!.
So mpe TL maua yake hata kama haumpendi!
 
Amazon ni urithi mkubwa wa dunia kwa nini hawawaondoshi kifala wakaazi wa mule ?
Kwanza wale Jamaa walio uchi mule hawafugi wanaowinda tuu na pia hawana makazi kama hayo ya Masai huko,pia idadi Yao ni ndogo sana kuliko Maasai.

Toka enzi ya Mwl.Maasai walipewa limit ya population na mda wa kuondoka,Kwa hiyo Lisu na nyie wapuuzi sijui hata mnatetea nini yaani kwamba waendelee kuharibu Hifadhi au?

Mwisho kuondoshwa kifala ndio kukoje? Tueleze hapa
 
Nachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro

Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina

Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Niko hapa ninaangalia taarifa ya habari ITV, lakini ajabu taarifa nyeti kama hii hawaioneshi

Ule uhuru wa habari wanaouhubiri uko wapi?!
 
Zaman nilijua wamasai ni watu hatari sana na washupavu. Ila hamna kabila waoga kama hawa jamaa. Kiukwelki hawa jamaa hawastahili tena kukaa mbugani. Zamani walikuwa hawali wanyama pori ila sasa sasa hivi hawana tofauti na wamakonde au wasafwa wa mbeya hadi mizoga wanakula.
 
Nimeshangaa sana page ya watetezi tv imepost Tundu akiwa mkutanoni na wanchi tele
Huku kitenge tv imeweka eti jamaa amefika hajakuta mtu hata mmoja uwanjani

Huu ujinga tutaacha lini? Hizi njaa za vi online tv ni aibu sana
Hata kama hajakuta mtu, cha muhimu amefika Ngorongoro 😀😀🔥🌟
 
Zaman nilijua wamasai ni watu hatari sana na washupavu. Ila hamna kabila waoga kama hawa jamaa. Kiukwelki hawa jamaa hawastahili tena kukaa mbugani. Zamani walikuwa hawali wanyama pori ila sasa sasa hivi hawana tofauti na wamakonde au wasafwa wa mbeya hadi mizoga wanakula.
Wasafwa?

cc: Choicevariable 😂🔥
 
Kwanza wale Jamaa walio uchi mule hawafugi wanaowinda tuu na pia hawana makazi kama hayo ya Masai huko,pia idadi Yao ni ndogo sana kuliko Maasai.

Toka enzi ya Mwl.Maasai walipewa limit ya population na mda wa kuondoka,Kwa hiyo Lisu na nyie wapuuzi sijui hata mnatetea nini yaani kwamba waendelee kuharibu Hifadhi au?

Mwisho kuondoshwa kifala ndio kukoje? Tueleze hapa
Wanalimit ndogo ? Dogo jinga kabisa unafahamu hata unacho andika.
 
Mwaka ujao wa uchaguzi utakuwa wa tofauti mura!! Hututakubali kutoka kituo cha kupiga kura hadi zihesabiwe na tutoke na matokeo ya kura zetu zote.
Mabomu tu yamachozi raia wanakimbia unazan polisi wakiamua kuanza kutumia bunduki za risasi kuna mtu atasogea?

Ccm haiwezi kutoka madarakani bila katiba mpya
 
Maulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana

Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana

Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?

Mlale Unono!
Unampa airtime kitenge na kumlinganisha na LISSU? Kweli? Yaan chawa wa mama unamlinganisha na LISSU? Haya saw siwez kukuvunjia heshima wee ni Mzee, ila ningekupa za uso hapa!!!
 
_97406776_a_maasai_woman_holds_a_sign_that_reads_in_swahili_%27we_will_fight_for_our_land_until_the_end%27.jpg

Wamasai wameadhimia kupambana hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom