SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Endeleeni kukufuru maana machadema akili zenu huwa zinawaruka mpaka mnapitiliza mipaka ya kibinadamu😄😄
Eating 🦆Wakati sisi tunaminywa kende wewe unafanywaje.....
Wa Kitenge walikuwa wamasai wa mchongoMaulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana
Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana
Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?
Mlale Unono!
Acheni kulinganisha takataka (Kitenge) na mashujaa wa nchi (Lisu).Maulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana
Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana
Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?
Mlale Unono!
Mpango wa Mungu hauwezi kuzuiwa na mamluki , Wameonyeshwa Vifungu vya Katiba wakanywea
Inasikitisha sana mkuuNachukua nafasi hii kutangaza kuwadharau watu wote walioshiriki kuhujumu Jambo Tv Online ili ishindwe kuripoti Mkutano Kabambe wa Tundu Ole Lissu alipowahutubia Wamasai, ambao ni wahanga wa kuhamishwa kwenye maeneo yao huko Ngorongoro
Laana ya milele iwaandame wao na vizazi vyao katika maisha yao yote yaliyosalia hapa duniani , Amina
Siasa hizi za kishamba zilizopitwa na Wakati , hazina nafasi tena kwenye nchi hii , tupingane kwa hoja .
Sasa mzee wangu, kitenge n nani kwenye hii nchi afu angalia Mh. Lisu ni nani. Lisu alipigwa na risasi kibao lkn hakufa hy n kuonyesha uwezo mkubwa wa mungu, Lisu ni mmoja kati ya watu wa kuheshimiwa na watu wote wenye akili timamuMaulidi Kitenge wa Wasafi FM alipofanya Ziara Ngorongoro Wamasai walimshangilia sana
Leo Tundu Lisu kafanya Ziara Ngorongoro Wamasai wamemshangilia sana
Au ni Utamaduni wa Wamasai kushangilia wageni?
Mlale Unono!
Kaka tushashitakiwa na kesi iliisha na tunadaiwa bill 500.na tumeanza juzilipaKinachonirudishaga nyuma kwa Tundu Lisu ni kitendo chake cha kuungana na Acacia na kusema tutashitakiwa MIGA
Angalia clip mpaka mwisho.Acha kupotosha. Hapo sio Ngorongoro. Hizo picha ni za Monduli. Unapata faida gani kudanganya umma?
Nani anawataka hamjui kuwa hamna sauti kama wanaume mmechunwa hamna hela,bado tunawatawala,wengine wanapasishiana kama mpira , wengi hamdumu na ndoa zenu maana hamjitambui,mie huko kwenye jukwaa la mapenzi na code za watu ndio nachart nao, vingine nope , nchi mpo chini ya mwanamke , so kwasasa kuweni wastaarabu msije kufa na preshaNenda huko kwenye mada za utamu... unachukia vyama vyote vya siasa na upo jukwaa la siasa? Huku huwezi wapata unaowatafuta huku ni wagumu.com au nenda tiktok
Na nyie vinyeo vyenu viko rehani malaya wabovu nyieHahahahah hizo kende zenu subirini kiama chaja.
Last warning, acha kuniquote Lucas.Endeleeni kukufuru maana machadema akili zenu huwa zinawaruka mpaka mnapitiliza mipaka ya kibinadamu😄😄
SAGAI GALGANO wewe ni mwana CCM mzuri sana. HongeraNa nyie vinyeo vyenu viko rehani malaya wabovu nyie
Mijitu hii ya lumumba hainaga akiliLast warning, acha kuniquote Lucas.
Umeshampa vingaoi hadi sasa hapo? Hawana hela mbona hutafuti zako?Nani anawataka hamjui kuwa hamna sauti kama wanaume mmechunwa hamna hela,bado tunawatawala,wengine wanapasishiana kama mpira , wengi hamdumu na ndoa zenu maana hamjitambui,mie huko kwenye jukwaa la mapenzi na code za watu ndio nachart nao, vingine nope , nchi mpo chini ya mwanamke , so kwasasa kuweni wastaarabu msije kufa na presha
Hakika !Giza linafukuzwa
Acha kupotosha. Hapo sio Ngorongoro. Hizo picha ni za Monduli. Unapata faida gani kudanganya umma?