Ndo maana waliofeli form four ndo walijiunga Upolisi.Nyerere alikuwa na agenja kwa kweli.Imagine waliofeli ndo walikwenda Kusomea upolisi na ualimu. Nyerere hivi ulijua utaishi milele hadi kutuharibu namna hii ,kufanya ujinga uwe kizazi baada ya kizazi.
 
Yule kijana ni MPUMBAVU SANA!... nafkiri watakuwa ni product za DARUSO hawa, ndo huwa wasumbufu, wanafiki na wajinga wajinga sana!
Hujakutana na vijana wa UDOSO mkuu au kwasababu akili za kuandika hawana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zipo taarifa kwamba mh lissu kakamatwa, huu ni uonevu ,tutaonewa mpaka lini, tumechoka na unyanyasaji
Itisha kikao cha dharula cha kamati kuu,

Toeni tamko kwa nchi nzima tujue tufanye nini inatosha

Thanks
Wewe unakula raha huko unataka nani akapigwe mabomu!!? Tangulia wewe mbele ukavunjwe miguu ili akili ikukae sawa!
 
Bila polisi ccm ina wakati mgumu sana kwa wananchi, alishasema muda tu
 
Polisi sababu yao kuu wanasemaga waliapa😂

Sasa sijui waliapa kiapo cha UJINGA au nini 😂😂😂
 
Anahofu nini? Kwanini nyeusi asiite nyeusi?
 
Kazi ya vyama vya upinzani, si kuisifu na kupongeza serikali iliyopo madarakani. Ni pamoja na kuwaonyesha wananchi, madhaifu na kasoro za serikali ili wasiwarudishe madarakani.

Ni jukumu la watawala kuwaaminisha wananchi uhalali wa yanayofanyika. Si kuwalazimisha kuamini wanachokifanya.
 
Lugha za kijasusi hizo.. na ndomana huwa yanaendelea haya. Huenda ndo maelekezo hayo wanayopewa
 
Usichokijua ni kwamba mwanasiasa anayejielewa ni zaid ya mwanaharakati
 
Ndio kwanzaaa Nida inasoma una 20yrs mpk kufika 50yrs kuna miaka 30 mingine kama hiii ya sasa au mibaya kuliko hii ya sasa ambayo inatucost
 
Usi

Usichokijua ni kwamba mwanasiasa anayejielewa ni zaid ya mwanaharakati
Ila sasa wabadilike wawe wana siasa hizo harakati hazipeleke chama popote, hatuja pata mbadala wa ccm mpaka leo, hao watu ni uchu wa madalaka hawana mikakati yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…