Ninachojua ni lazima ataachiwa bila masharti.

Hii imefanyika kama Warning ya kumchorea mstari ambao hatakiwi kuuvuka.

Ngorongoro ni kwa moto, lazima Mamlaka ipalinde ili kuficha yaliyopo, maana Ardhi yenyewe ilishamilikishwa kwa wageni tangu 1994

Hii ndiyo Tanzania ya Baada ya Nyerere 🙌
 
Wewe kweli alfu lela ulela? Yaani ulichokiandika hapa ndiyo unaita siasa?
Aliyewaharibu ni huyo aliyewafundisheni habari za siasa na uana harakati.
Sababu yeye mwenyewe uwezo wake uligotea mahala.
Hakuna siasa isiyo na harakati. Msipende kukariri vitu kama vile mmekatazwa kutumia akili zenu. Jambo lolote lile, iwe dini, siasa, Taaluma au kingine chochote kile ili kuweza kukieneza kinahitaji harakati.
 
huku hivi polithi walimwta walimwita kwa barua akakataa.

huko hajakataa kwendraa polithi?
halafu hawa polithi saa zingine wanachachua ladha ya siasa za hoja TZ tunakosa cha kujifunza.
 
POLISI wa tz hawajui watendalo ni kama soggy doggie
 
Serikali inahangaika nini na huyo mwanasiasa wa upinzani? Imuache tu atumie haki yake ya kikatiba
 
Kwa Nini wasimtandike lisasi tena? Maana lengo lake ni kuleta taharaki nchini akijua yeye ana pa kukimbilia.
 
Gharama za kua mwanasiasa wa upinzani...

Ukiwa na roho ndogo unachoka mapemaa...
 
Kumbe huyo Mwamedi alikuwa ni kama haya makabila yanayoamini voodoo na kutoa kafara? Kwa nini mafundisho yake potofu yasipigwe marufuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…