Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Endeleeni kujifariji tu. Upepo wa Lissu si masihara 😂😂😂😂

Mwaka huu hakuna kumwachia Mungu
 
Wakuu poleni na majukumu mambo YAMEBADILIKA nimeamini SIASA NI SAYANSI ....SIASA NI DAINAMIKI ...binadamu anaweza kukusikiliza lakini nivigumu kujuwa kichwani kwake anakufikiriaje ....watu na IMANI ZAO NI NGUMU KUZIBADILISHA..




USIPIME KINA CHA MAJI KWA KIJITI INGIA MWENYEWE

 
Kumbe na wewe unafikiri kama CCM..!!?
Hivi unafikiri CCM huwa wanashinda!?
 
Ndugu 2020 ni mwaka wa mabadiriko ya msingi Africa. Si uliona Malawi??? Si uliona Congo??? Si umeona Mali??? Sasa hapo October ni Tanzania.

Amini amini nakwambia, Tundu Antipas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…