Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Soweto pale Mbeya walifunga barabara walimzomea Magufuli pia nenda kawaulize hata Leo Kama watarudia lile kosa.wengi wanajutia kile kitendo na waliapa kutorudia na wengi wamerudi CCM

Soweto ndio palikuwa ngome ya wahuni wazomea Magufuli wakiwemo raia wahamiaji haramu wanaokaa eneo like ambao si wazawa wa Mbeya na sio watanzania

Sugu genge lake aliweka mizizi yake ya wahuni Soweto
Endeleeni kujifariji tu. Upepo wa Lissu si masihara 😂😂😂😂

Mwaka huu hakuna kumwachia Mungu
 
Wakuu poleni na majukumu mambo YAMEBADILIKA nimeamini SIASA NI SAYANSI ....SIASA NI DAINAMIKI ...binadamu anaweza kukusikiliza lakini nivigumu kujuwa kichwani kwake anakufikiriaje ....watu na IMANI ZAO NI NGUMU KUZIBADILISHA..


1597844944008.png


USIPIME KINA CHA MAJI KWA KIJITI INGIA MWENYEWE

1597844944008.png
 
Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Kumbe na wewe unafikiri kama CCM..!!?
Hivi unafikiri CCM huwa wanashinda!?
 
Ndugu 2020 ni mwaka wa mabadiriko ya msingi Africa. Si uliona Malawi??? Si uliona Congo??? Si umeona Mali??? Sasa hapo October ni Tanzania.

Amini amini nakwambia, Tundu Antipas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
 
Back
Top Bottom