Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

Jaribu wewe kuzamia kama hujaenda kuolewa Segerea πŸ˜„
nazamiaje wakati mie naenda free kama home tu gentleman

kuna mambo unajaribu kuyafanya maguuumu kumbe kwa wengine huyo mzee tumezoe hadi tunamjuu kama baba kipi tu
 
Ccm wanashindwa kuelewa chadema inapigaje vile, lisu nguri wa sheria kashawachanganya manyigu walijua ataanza na mikutano ya hadhara mikoani lkn mpaka sasa wanywa damu hawajui aina ya siasa anayoendesha lisu.
 
Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Sawa lakini huo uhuni huzimika ndani ya siku tu kama moto wa mabua, yupo wapi Magufuli, si mlikuwa mkisema tunaye hadi kiama?
 
Mzee Warioba ndiye mzee pekee wa CCM ambaye ana ujasiri wa kuweka maslahi ya nchi mbele. Wengine wote ama ni wanafiki au hawana balls!
 
Wazee wote muhim na wanaojielewa watembelewe na kupata busara zao juu ya Taifa hili na tunatokaje hapa
 
Mzee hivyo achaguliwe urais? SI atakuwa kama Biden...asahau njia aende msituni?
 
Wasira kwa sasa akikusikia unamwita mzee atakuroga kama sio kukufungulia kesi, we si unaona hata mwonekano wa nywele amebadilisha. Sema

Bro Wasira atakuelewa
 

Huyu ni miongoni mwa wastaafu wachache sana wenye fikra huru kabisa.Wana mtizano wa kizalendo sana. Nchi kwanza POSHO baadaye! ni reliable kupata ushauri kwa viongozi wenye nia njema na nchi.Ila kama wewe ni mtu wa irregularities utamchukia sana huyu mzee maana hata sita kusema zile hisia zilizomo moyoni mwake
 
Kwa sasa Mzee awashauri vijana wa taifa hili kama hivi itakuwa vyema zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…