PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
arudishwe korokoroni mpaka wakati mwingine,

siku zote analilia tektonolojia na uwazi kwenye chaguzi na mengineyo, leo ng'we ng'we hataki teknolojia tena, huyo ni useless and nonsense kabisa
Lisu kuliko waswahili wa uswahilini akiongea hiki kesho anageuka yuko kama kinyonga

Yaani wafuasi wake ndio maana wamepewe jina la nyumbu
 
Mahakama mtandao haina tofauti na hii ya kawaida

Nyie watu mkoje. Unataka kusema kuangalia Mpira uwanjani na kuangalia kwenye TV ni sawa?

Mpira wa kuangalia kwenye TV anayedhibiti mtazamani aone nini ni muonyeshaji wakati uwanjani ni mtazamani ndiye anayeamua aangalie nini.

Ukisema "Visual Court" ni sawa na mahakama ya kawaida Sasa Kwa nini majina hayafanani?
 
Acheni blah blah mpelekeni Kisutu sio kumficha.
hakuna haja ya yeyote kusogelea majengo ya mahakama ya kisutu, ni muhimu sana dunia nzima ikaunganishwa na teknolojia na kushuhudia uwazi na haki ikitendeka kwa watuhumiwa vibaka na waropokaji wote Tanzania
 
Lisu kuliko waswahili wa uswahilini akiongea hiki kesho anageuka yuko kama kinyonga

Yaani wafuasi wake ndio maana wamepewe jina la nyumbu
yaani mropokaji na manyumbu wot hata hayaelewi yanachodai au kutetea, ni ajabu sana aisee mtu kuigomea technolojia
 
Mbon hawakusema mapema kuwa kesi itaaendeshwa kwa njia ya mtandao? Ni kweli anataka publicity, ww inakuuma nini? Kugoma kula ni sehemu ya kudai haki. Una lingine?
Inaniuma kujua anavyuma mwilini. Huko alipo hateseki kweli?

Ndio nina lingine.

Mahakama ina Uhuru wake.
 
Akirudi inapigwa June 13,akigoma tena June 27.

Iyena iyena itakuwa imeanza kunoga
Wampige hadi julai ili dunia ione haki kwenye nchi hii inavyomezwa na mamlaka, mtu anatumikia kifungo bila hukum πŸ˜” ony TZ
 
Ina uwezo wa kubeba hata wasikilizaji bilioni moja ni kama youtu.be tu
Au online TV au Radio

Youtube au online Tv au online Radio ulishawa ona zikizidiwa? Hakuna kitu kama hicho

Tv na radio tu za kawada watanzania wote milioni 60 tukiwasha tunasikia vizuri shida sembuse online.Ni bundle lako tu
 
Inteligence estimates za TISS wanazopeleka Ikulu ni mbovu.

Hata DC Magoti kasema leo kutumia nguvu kubwa za dola kunawapandisha brand wapinzani na kushusha brand ya vyombo.

Eti hawakuona legal circus ya uhaini itamtangaza Lissu vijijini na duniani ?? Wana strategy fupi, violence and threat of violence. Maji ya kuwasha, bomu la machozi, mabuti na risasi. Na wamejipa kinga, wakiua kulinda dola hawana kesi. Basi hawafikirii political strategy nyingine.
 
Keshagoma sasa na vimtandao vyenu ambavyo hata watu 1000 tu haviwezi kuwaunga, mnajitutumua na vitech wkt hata kuvijua tu bado, mnakariri sana
dunia nzima wana access na kushuhudia na kuona jinsi haki ikitendwa na mahakama za Tanzania,

in fact hadi wakili wake Bob Robert Amsterdam atakua anamshangaa mteja wake kuigomea technolojia,

mihemko ya kinyumbu ni kitu mbaya na nonsense sana aise,
inakufanya usijue hata nini unataka, nini unadai au nini unatetea
 
Wampige hadi julai ili dunia ione haki kwenye nchi hii inavyomezwa na mamlaka, mtu anatumikia kifungo bila hukum πŸ˜” ony TZ
Dunia wana mambo yao hawakodolei ya Tanzania tu
Mfano wewe binafsi una muda wa kushinda kukodolea mambo ya kenya,uganda,Rwanda ulaya au marekani?
 

Mtandao wenyewe ushabuma kule nenda kasaidie chawa kurestart na kutroubleshoot, mzabuni keshakula mabilioni na rushwa mshagawana anakula maisha Dubai kule! πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›

Dunia ishuhudie mtandao usioweza kubeba hata watu 500, si unaishia Magomeni hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…