Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Karibu sana nyumbani Tundu Lissu
Pole kwa masahibu mazito yaliyokupata.

Mtu aliaeamuru upigwe risasi anajifanya mzalendo...na kutaka atawale nchi hii hadi afie ikulu!

Karibu rafiki, ndugu na kiongozi wetu jasiri na shujaa! Taifa linakutegemea
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na kilema. Halafu Lissu ana historia ya ukichaa.
Hehehe!
Umesahau mara hii mwenyekiti wa CCM alivyojitangaza kuwa anakichaa na anawazimu?
Ndio maana anatakiwa ampishe Lissu, ni aibu na laana taifa kuongozwa na mtu anajitanganza kwa ana kichaa
 
Sifurahii ujio wake maana usalama wake sina imani nao. Naogopa sana. Kwangu mimi kama nngelikuwa na mamlaka, ningesema asije kwanza! Labda kama amehakikishiwa usalama na International community kitu ambacho si rahisi kukipata! Unasemaje Mmawia?
 
Thubutu!!! Ole wenu nawaambia. Hapatakalika. Watu tumemaliza vyuo tangu 2015 hatuna ajira alafu mlete ushenzi wenu. Na lolote baya mtakalimfanya Lissu nawaambia ndo itakuwa mwanzo wa vurugu za kisiasa Tanzania

2015 juzi tu hapa mkuu watu wana miaka kumi mtaani aisee
 
Huyu mtu kwa hakika ni mpango wa Mungu.
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na kilema. Halafu Lissu ana historia ya ukichaa.

Hii ndio raha ya uhuru wa maoni. Tatizo yakirushwa mazito upande wa pili huwa mnaishia kulialia kuwa viongozi wanatukanwa na kudhalilishwa. Sisi tuko poa sana kwa lugha zozote, kuanzia za shombo mpaka za kistaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…