Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Karibu nyumbani Kaka Mkubwa, Mungu akutangulie katika Safari yako!
 
Nitoe wito kwa watanzania wazalendo kususia mapokezi ya Tundu Lissu atakoporejea nchini.

Mambo aliyoyafanya alipokuwa ubelgiji na marekani ni ya hovyo kabisa ,hastahili heshima yoyote kwenye kuwasili kwake hapa nchini,
lengo lake alitaka kuwataabisha watanzania ,cha kushangaza kapuuzwa huko ulaya na Marekani ,
Baada ya wazungu kumtosa kaona isiwe tabu ajirudie nyumbani alipopakashifu .

Alitegemea kupewa hifadhi huko ,imeshindikana.

Siku akifika nchini ,vyombo vya ulinzi na usalama visiruhusu msafara wowote ,pia airport wawepo watu wachache sana,achukiliwe kwenye defender moja ya polisi na aseme anaelekea wapi,ufipa au nyumbani kwake wakambwage ,si wa kuonea huruma hata kidogo ,ni ubaya tu,alipwe alichopanda ulaya.

Alilaumu jeshi la polisi ,hivi sasa anataka limpe ulinzi baada ya mabeberu kugomea kumpa ulinzi ,kachanganyikiwa,haelewi anataka nini
 
Una mawazo ya kijinga.
Kwani Lissu kwao wapi?
Kimsingi sikubaliani na misimamo ya Lissu, lakini lazima uelewe kuwa ni raia wa Tanzania.
 
KAMA WENZAKO NI MABEBERU WEWE JIKE LAO
 
Kwa namna magufuli anavyoiendesha nchi kiuonezi haya yote si ya maana kwetu Kama hatuko huru muda wowote unawaza nikiisema CCM nitatekwa nitauwawa nitafukuzwa kazi nk .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…