Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Huwa najiuliza iwapo mnayoongea ndivyo mnavyoelewa au mnafanya makusudi kuficha ukweli?Ipambanie tu familia yako, watanzania walikukataa kwenye box la kura na barabarani kwenye maandamano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa najiuliza iwapo mnayoongea ndivyo mnavyoelewa au mnafanya makusudi kuficha ukweli?Ipambanie tu familia yako, watanzania walikukataa kwenye box la kura na barabarani kwenye maandamano
Acheni uongo. Torture iko wapi? Huyu ndugu yenu ana residence visa huko aendako. Lema kakimbia madeni. Grow up guys.Tanzania has become a place of torture and intimidation to the leaders, members of opposition or any citizen with different political views to that of the CCM government
Panya ukimuona nyumbani ukimkimbiza angalia shimo anakokimbilia huko ndio Kwao Lema na Lissu wamekimbizwa Tanzania wamekimbilia mashimo ya Kenya na Kutaka kwenda USA kwa Lema ukimbizi kwa Lema na Lissu katimukia ubalozi wa ugermani na ubelgiji huko ndiko shimo lake alikotokokea.
Mungu mwema katuonyesha watanzania panya hawa tuliowakimbiza wametokea mashimo yepi.
Toka mwanzo tuliambiwa Chadema wamiliki Ni wakenya ,wazungu na wamarekani tumeshadhibitisha wanaenda kwenye mashimo yao.
Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na nchi atatuvusha kwenye hili daraja.Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.
Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Taarifa zote za tiketi walikua nazo sio kwamba wameshindwa kumfanya chochote busara tu
Ngoja fail lake nilitunze mkuu, atalikuta tu mkuuSasa kesi zake itakuwaje maana mahakama ilisema lazima awepo tarehe 3/12
Fungua macho ndugu yangu, Tundu Lisu ame-choose the wrong side of the battle. He won't win. Poleni kwa kutojitambua kwa kuunga mkono wanyang'anyi.Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.
Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
It wasn't easy like that, alikuwa escorted na maafisa ubalozi wa Ujerumani na Marekani...kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.
..serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk MGOGORO WA KIDIPLOMASIA na Ujerumani.
so trueMagufuli alisema wazi kuwa Lissu anakuja tu kuchafua amani ya nchi ana uraia na tiketi ya ubelgiji
Misukule hiyo haijielewi.Huwa najiuliza iwapo mnayoongea ndivyo mnavyoelewa au mnafanya makusudi kuficha ukweli?
Vipi sasa wale waliopoteza maisha kwa ajili yao.Watanzania wameamua kumkataa Robert Amsterdam kwa kivuli cha Tundu
Mkuu kweli kavaa barakoa?Leo amekumbuka kuvaa barakoa wakati kwa muda wote wa kampeni kapiga pua nje
Angeweza hata kutolewa uhai wakeBora ajiondokee tu linchi limekuwa la hovyo kabisa.
Watanzania gani hawasomeki?Mission impossible!
It's a hard learned lesson, Watanzania "hawasomeki"
Ulikuja kama ulivyo na unaondoka kama ulivyo!
Kabisa mkuu!Angeweza hata kutolewa uhai wake
It wasn't easy like that, alikuwa escorted na maafisa ubalozi wa ujerumani na marekani.