Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Panya ukimuona nyumbani ukimkimbiza angalia shimo anakokimbilia huko ndio Kwao Lema na Lissu wamekimbizwa Tanzania wamekimbilia mashimo ya Kenya na Kutaka kwenda USA kwa Lema ukimbizi kwa Lema na Lissu katimukia ubalozi wa ugermani na ubelgiji huko ndiko shimo lake alikotokokea.

Mungu mwema katuonyesha watanzania panya hawa tuliowakimbiza wametokea mashimo yepi.

Toka mwanzo tuliambiwa Chadema wamiliki Ni wakenya ,wazungu na wamarekani tumeshadhibitisha wanaenda kwenye mashimo yao.

Viongozi wengi wa kiafrika walikimbilia uhamishoni chini ya utawala wa madictator kwenye nchi zao, Ila baadae walirejea kwa nguvu moja kuingia nchi zao.
 
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.

Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na nchi atatuvusha kwenye hili daraja.
 
Taarifa zote za tiketi walikua nazo sio kwamba wameshindwa kumfanya chochote busara tu

Ndio maana nimekwambia serikali wametumia BUSARA.

Wangesikiliza vijana wa MATAGA, na wakereketwa wa CCM, nchi ingeingia ktk mgogoro wa kidiplomasia.

Na Tundu Lissu kutokuwepo nchini kunaipa Serikali nafasi ya kudai imeshindwa kuchunguza tukio la kushambuliwa kwake.
 
Bora amefanikiwa kuokoa roho yake.

Mapambano yanaendelea from whichever angle.
 
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.

Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Fungua macho ndugu yangu, Tundu Lisu ame-choose the wrong side of the battle. He won't win. Poleni kwa kutojitambua kwa kuunga mkono wanyang'anyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom