Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Siku zinaisha yeye wacha aoige za kisayansi,
Hata corona walisema ni gonjwa la kisayansi lakini magufuli akalimaliza bila kutumia hiyo sayansi yao .
Uchaguzi utaisha kisha lisu awahai huko ubelgiji tu hakuna namna.
 
Ili neno "mabeberu" limekaa sana kwenye lips za watu wa Lumumba awamu hii, lakini ukiwauliza beberu ni nani, hawana jibu.
 
Hata mimi natamani iwe kama unavyosema, lakini ukweli haitakuwa hivyo. CHADEMA inamnadi Lissu badala ya CHADEMA. CCM wako ktk timu ya kampeni, CHADEMA ni kampeni za Lissu. Hata m/kiti yuko hai anasaka mbinu za kurudi bungeni tu!
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Si kweli, anasema sana atafanya nini sema huna interest kusikia. O the other hand, hapana, ngoja kwanza aibue madhaifu ya Jiwe and all atrocities commited by him!. Bado, bado lazima watu wawe mind conscious of their surroundings!
 
Kati ya wagombea wote Lissu anawazidi kwa:
Sera Bora ya chama chake, na kuzielezea kwa ufasaha... reference DK 45 na ITV
Uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja
Uwezo mkubwa wa ushawishi
Kupedwa na watanzania kwa ujumla
Msema kweli - hajawahi kudanganya
Mwerevu mno.
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Hiyo sera itakufikia sangapi nakwakutumia nini ndio maana wanaokopa wanamjua wametengeneza vikwazo iliapambane navyo ilikumpunguza kasi lakini niwaambie ccm haipo kwenye myoyo yawatu hatakama wamzibe mdomo kabisa t lisu ikulu inamuita
 
B
Kama mpaka sasa hujawahi kusikia atafanya nini basi we haupo Tanzania au kichwani hamna ubongo kumejaa samadi
Bora samadi kitakuwa kimejaa kamasi hicho
 
" Sheria inasema mawakala watapewa nakala za matokeo lakini mwaka huu Tume imekuja na Kanuni kuwa mawakala watapewa nakala kama zipo. Huko ni kutafuta ugomvi na wataupata! "
Maneno ya kikakamavu sana !
 
Lissu hawezi kuchambua au kueleza mambo pasina kulaumu au kumshambulia mtu,hivyo ndivyo alivyo na uzuri au ubaya kuna watu wanapenda hiyo hali ya kusikia malalamiko muda wote kuliko kusikia ni nini kifanyike.
LISSU a.k.a Malalaiko FC Ila Uzuri Keshajua Hawezi Kuishinda CCM hata Siku Moja CHADEMA watashinda Uchaguzi Siku Tukianza Kupiga Kura Kwa Simuu hahaha
 

Mkuu Ubongo wa huyo kiazi uliyemquote ni MB 10, hivyo storage space yake ni ndogo sana, kwahiyo kila akischronize data, hapati taarifa kuwa Lisu alisema atafanya nini?
 
Pesa ya kampeni imekata halafu mahudhurio ya mtwara na Zanzibar na Dar yamemkatisha tamaa sana

Na alichoona ya Mwanza ya Magufuli kajiona hamna kitu
Wanafunzi sio wapiga kura afu wasukuma hawanaga akili japo ni ndugu zangu ila chenga sana ni lazima kujae kwa sababu ya ukabila
 
Kwakweli kama mtu akishinda ana haki ya kudai ushindi!

Nawasihi CHADEMA na wapinzani wengine wote kujipanga kwa umakini mkubwa katika kuhakikisha wanapata idadi kamili ya kura walizopewa na wananchi!

Itakumbukwa mwaka 2015, timu ya vijana wa waliokuwa pale mlimani City wakipokea na kujmlisha kura za Lowassa toka mikoani walitengenezewa zengwe wakavamiwa na kukamatwa eti wanajihusisha na biashara ya kusafirisha binadamu!

Wakatupwa ndani mpaka uchaguzi ukapita na mshindi target akatangazwa, haijulikani mpaka leo kesi iliishia wapi!

So nashauri CDM wawe makini na jambo hili ikiwezekana kituo hicho kiwekwe pasipojulikana na kifanye kazi kwa siri kubwa mpaka matokeo yote yatumwe toka nchi nzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…