Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Siku zinaisha yeye wacha aoige za kisayansi,Campaign za mwaka zinaenda kidigitali maana magufuli anapigwa majukwaani alafu akianza kutoa povu anapigwa Kwa press conference.....
Huyu Mzee atachezea makofi ya uso kwelikweli na ameshaanza kucheza Ngoma ya lissu kuanzia yeye pamoja na akina bashiru na polepole
Hata corona walisema ni gonjwa la kisayansi lakini magufuli akalimaliza bila kutumia hiyo sayansi yao .
Uchaguzi utaisha kisha lisu awahai huko ubelgiji tu hakuna namna.