Umeshajifungua?Hivi Makamba siyo Waziri tena? Tangu lini? Halafu kama nilisikia hivi kuwa Nape naye kaondolewa juzi kati hapa? Siasa zimenipita pembeni siku hizi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshajifungua?Hivi Makamba siyo Waziri tena? Tangu lini? Halafu kama nilisikia hivi kuwa Nape naye kaondolewa juzi kati hapa? Siasa zimenipita pembeni siku hizi...
Umeliweka vizuri sana hili. Tundu Lissu hatakuwa mgombea wa CHADEMA pekee, atakuwa ni mgombea wa wote wanaojali maslahi ya taifa letu.Nihesabie mie nitakuwa mpiga kampeni wa kujitegemea asiye kwenye timu maalum, na ambaye hahitaji malipo ya aina yeyote. Huo utakuwa mchango wangu kwa Taifa langu na vizazi vijavyo, maana hakika chini ya uongozi wa Lisu, sote tutakuwa na uhakika wa maslahi ya Taifa.
Nimekubali mawazo ysko but hapo kwa Magu nimekataa Magu hakuwa kiongozi mbayaHuyu kwa Urais HAPANA. Uwaziri Mkuu sawa kabisa. Watu ambao hawakubali mawazo ya wenzao na kujiona kila wakati wako sawa huwa wanaishia kuwa viongozi wabaya sana kama Magufuli
Vipi kuhusu kumpokea Lowassa japo alimwita ni fisadi na kudai kuwa wana ushaidi wa fisadi wakeTundu Lisu ni mpinzani wa kipekee Kabisa hapa Duniani
Hanaga Undumilakuwili
Wewe una yako mengine pembeni.Labda wewe, lakini nchi hii haina nafasi tena ya kuleta kichaa mwingine kama Magufuli kwenye uongozi wa Taifa letu.
Mungu katusadia kumtoa yule naamini alikusidia kuikoa nchi yetu isiharibike na kuwa kama Somalia
Mbona nyinyi mna print form moja tuCHADEMA hakuna demokrasia kabisa. Huyo Lissu ana uhakika gani chama chake kitampitisha? Au yeye ndo katiba ya chama?
Acha ushambenga dogo, umemtafuta ww na nani?alikuwa wapi, tumemtafuta sana.
Halafu tena kwenye sehemu nyeti ya serikali na cctv-camera, na ulinzi wa kutosha, eti mpaka leo hawajulikani. Lilikua jambo la kihuni sana na serikali??Mbowe ana nguvu sana nchi hii, kumbe alimpiga risasi Lissu na akawazuia poliis kufanya uchunguzi!?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Chakademus watampitisha?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.
Tundu Lissu ameyasema hayo leo, Julai 26, 2024 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipowasili akitokea nchini Ubelgiji.
Tundu Lissu amesema wakati anamkabili Hayati Magufuli alikuwa na umri wa miaka 52, mwaka kesho atakuwa na umri wa miaka 57 hivyo hawezi kuwa na nguvu zile zile za miaka 52 na kwa miaka 57. Lissu meongeza kuwa nguvu ya hoja, na msimamo wa kisiasa na uaminifu kwa watanzania bado uko palepale.
Huyu mama, kama tuliweza kumkabili Magufuli hajatoa matokeo ya urais mpaka leo, huyu aliyekuwa anaua watu, kama tuliweza kumkabilia miaka mitano iliyopita, huyu mama hatakuwa na shida kubwa kama Magufuli.
Pamoja na yote, hii mama mama mama hii ni ya watu waliohongwa na hii haina shida.
Nia yangu ya kugombea Urais iko palepale, nitaitikia wito wa watanzania, nitaitikia wito wa chama changu.
Kusema ni kitu kimoja, na kutenda ni kitu kingine...Lissu wakati anagombea 2020 alisema hapendi kuwa Raisi mwenye mamlaka ya ki-mungu mtu kama ilivyo sasa hivi. Sasa unaposema anafanana na Magufuli naona kama umelenga kudharau jukwaa letu.
Neighbours TegetaUlifanya kazi na lissu wapi ukamwona yuko hivyo unavyomsema.leta na ushahidi kuthibitisha hoja yako.
Magufuli:-Nimekubali mawazo ysko but hapo kwa Magu nimekataa Magu hakuwa kiongozi mbaya
Basi tuseme Tundu Lissu ni mwema na kiongozi mzuri kama Magufuli. Ukiipenda hii nijulisheWewe una yako mengine pembeni.
Unatumia mfano wa Magufuli kutishia watu. Hii ni dharau kubwa kwa hao unao watisha' kwamba hawana uwezo wa kuona tofauti kubwa zilizopo baina ya watu hao wawili.
Magufuli ubaya wake unafahamika; na laiti isingekuwa kwa hayo mabaya, Magufuli angekuwa ni kiongozi mzuri sana wa taifa hili.
Unachoweza kufanya sasa ni bora kumpamba 'Chura Kiziwi" wako, kama unavyoweza kumnakishi nguruwe na kumvisha shela aonekane kuwa Bi Harusi aliye pendeza, lakini hata hilo halitatosha tena safari hii.
Utapoteza muda bure kujaribu kutishia watu kwa kutumia ubaya wa Magufuli; ambaye kwa mazuri yake, hata waliochukizwa na yale mabaya, wanamtambua kwa hayo mazuri.
Hivi hata huwezi kutambua kuwa Tundu Lissu mwenyewe aliyepitia kwenye magumu ya Magufuli hatumii tena mfano huo kutishia watu?
Alidanganya kwamba maabara ya taifa iliona virusi vya corona kwny mapapai.5. Alikuwa MWONGO sana kwa kuwa alijuwa Watanzania ni wajinga. Alidai anajenga miradi kwa fedha za ndani kumbe anakopa kwenye mabenki ya nje
Ongeza million hamsin kila Kijiji na mtaaAlidanganya kwamba maabara ya taifa iliona virusi vya corona kwny mapapai.
Alidanganya kwamba tumejenga viwanda vipya zaidi ya 4000.
Hivi zile computer alizoahidi kwa Kila mwalimu aliwapa?Ongeza million hamsin kila Kijiji na mtaa
Nafikili kwenye kipindi chake waliokuwepo walikuwa wamejazwa mapesa