Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Tunakoelekea sio kuzuri hata kidogo
 
Alisikika Jeni Mura akisema haya!
 
Sijui na leo watatumia bodaboda kupeleka hilo zuio kwa muhusika?
 
Mulitaka watu wasuse kama serekali za mitaa na uchaguzi wa marejeo ya jecha sahauni munavotaka sasa twataka tumezaliwa siku moja tutakufa siku moja

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ayo tv anafata nn wkt ni kaoga hata kurusha habar za lissu
 
Anatafuta triggering factor...ya kuanzisha vurugu. Yawezekana ni moja ya kazi alizopewa, maana inasemwa si mwananchi mwenzetu yule. Fuatilieni ukweli wa hili.
Zikitokea vurugu hazitojua huyu nichadema wa ACT, wala ccm. Time huru ndio muokozi hawazi kelele.
 
Akate rufaa kwa lipi?
1. Hakuwahi kuletewa malalamiko juu yake ili yasikilizwe.
2. Mbili hakuwahi kusikilizwa.
3. Tatu, hata hayo maamuzi yaliyofikiwa hayajaekwa kwake.
Inaonekana unapenda sana kuwa mtu wa ndiy mzee
Mkuu, hivi unajua kuwa Chama ndicho kikubwa kuliko huyo mgombea,na Chama ndio kilichobeba dhamana yake?

Sasa huoni kwamba, Chama kuandikiwa juu ya kulalamikiwa Kwa mgombea ndio sahihi mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…