mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Bwashee mbona umenywea?Ngoja tuone!
Nasubiri kupata somo la sheria kutoka kwa Lisu vs Dr Mahera.
Huyu ni simba toka Bonde la ufa hatishwi na mchoro wa sura ya nyau ,kilichomkuta mahera,Sisty nyahozi na Sirro ndicho kitamkuta na Huyo Emma ataambulia aibu tuu