Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Atasaidia kumpepea Shujaa Tundu Lissu.
 
Akiacha kutumia lugha za matusi mbele ya cyombo cya habari watamrusha tu hewani tena MUBASHARA [emoji3166][emoji3166][emoji3166]
Hivi yule mshamba aliemuuliza mama mmoja "unataka upanuliwe wapi?" Kazuiwa kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari kwa matusi yake ya aibu?
 
Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Huko utadhani kuna mashindano ya kuweweseka. Kila mmoja anaweweseka kivyakevyake kwa bidii na lugha yake.
 
Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Huko utadhani kuna mashindano ya kuweweseka.
Kila mmoja anaweweseka kivyakevyake kwa bidii na lugha yake katika shetani.
 
Nimetabasamu na kubinua mdomo baada ya kuona eti na TBC nao wanachukua habari. Halafu hawaendi kuonyesha kwenye chombo chochote.
 
Ukileta post za kihanithi ninakukatia shanga hadharani fasta.
 
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zake​
Hawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa​
Hata kama ni mimi lazima niziongelee ili wabaya wangu mzidi kuweweseka... Yaani magazine nzima halafu umeshindwa kunitoa uhai nisiongelee?
 
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zake​
Hawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa​
Kama ambavyo wewe huwezi kuzungumza bila kutaja makalio yako. Kila mtu ana kipaumbele chake anachoona kinamuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…