Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

CHADEMA tunashukuru kwa mrejesho wa ziara ya siku 12 ya Tundu Lissu na mgombea mwenza kutafuta wadhamini iliyowafikisha mikoa 16 ya Tanzania bara mikutano mikubwa sana na wananchi.

Kila mkoa sheria ya uchaguzi inataka watia nia Urais kupata wadhamini wasiopungua 200 kutoka kila mikoa 10 ya Tanzania bara na Miwili ya Zanzibar.

Ziara hiyo imewaonesha kuwa upinzani umekua zaidi na una nguvu kuliko ulivyokuwa 2015.

Mkurugenzi wa Uchaguzi yeyote anayegoma kutoa fomu za uchaguzi ni kosa na hivyo msimamizi wa uchaguzi anastahili kufutwa kazi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi maana hawafai wala kutosha kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi.

CCM wana hofu ndiyo maana kunatokea matukio mengi ya kuingilia mchakato wa uchaguzi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa.

Mwaka 1958 mwl. Nyerere alihukumiwa kesi ya uchochezi ktk mahakama ya kihistoria ya Kisutu. Miaka 62 baadaye Tundu Lissu pia amekuwa mhanga wa kuitwa ktk Mahakama hiyo maarufu ya Kisutu na ametakiwa kutokea mbele ya Hakimu tarehe 26 Agosti 2020.

Siku ya tarehe 26 Agosti 2020 wamepanga nini mahakamani Kisutu, ni mwendesha mashitaka kuomba mbele ya Hakimu kuwa Tundu Lissu asomewe mashtaka mapya ili asipewe dhamana.
Atasaidia kumpepea Shujaa Tundu Lissu.
 
Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Huko utadhani kuna mashindano ya kuweweseka. Kila mmoja anaweweseka kivyakevyake kwa bidii na lugha yake.
 
Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Huko utadhani kuna mashindano ya kuweweseka.
Kila mmoja anaweweseka kivyakevyake kwa bidii na lugha yake katika shetani.
 
Nimetabasamu na kubinua mdomo baada ya kuona eti na TBC nao wanachukua habari. Halafu hawaendi kuonyesha kwenye chombo chochote.
 
Tangu lini Mzee asiwe mtu?
Tangu lini mtoto akawa mtoto siku zote, naanza kuona jinsi unavyoishiwa kichwani na Ndiyo Maana unashobokea vitu vya kipumbavu ambavyo Kwanza havikuuusu, na ukiona Jambo la kipuuzi ukaamua likushughurishe kichwa, wewe ndo mpuuzi na mjinga

Mambo ya kipuuzi yakupite ili uwe mwelevu,
Mkuu nakuheshimu, kama umeshindwa kujiheshimu usinifutefuate tafadhari

Ukileta post za kihanithi ninakukatia shanga hadharani fasta.
 
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zake​
Hawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa​
Hata kama ni mimi lazima niziongelee ili wabaya wangu mzidi kuweweseka... Yaani magazine nzima halafu umeshindwa kunitoa uhai nisiongelee?
 
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zake​
Hawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa​
Kama ambavyo wewe huwezi kuzungumza bila kutaja makalio yako. Kila mtu ana kipaumbele chake anachoona kinamuuza
 
Back
Top Bottom