Proffesor Kimaro
New Member
- Jul 14, 2020
- 3
- 0
Ukombozi wa nini? Mpaka sasa sijafahamu Lissu atakomboa nini!Ukombozi utafanikiwa kupitia mitandao hata kama media zitabanwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukombozi wa nini? Mpaka sasa sijafahamu Lissu atakomboa nini!Ukombozi utafanikiwa kupitia mitandao hata kama media zitabanwa.
Lugha gani ya matusi mfano?Akiacha kutumia lugha za matusi mbele ya cyombo cya habari watamrusha tu hewani tena MUBASHARA [emoji3166][emoji3166][emoji3166]
Mkuu kitambo sana. Umejichimbia kweli kweli....! Ha ha haaa! Nimefurahi kukuona Jukwaani.Jk, anawapa salamu yupo anakunywa kahawa mswahili yule🤣🤣
Kwanza ndo anakoroma kabisaaaaaaa!Safi Sana. Huyu ndiye jeshi la mtu mmoja. Anamfanya John mwenye kila aina ya nyenzo akose usingozi.
Huyu Lisu itakuwa kazungukwa na malaika.
Atasaidia kumpepea Shujaa Tundu Lissu.CHADEMA tunashukuru kwa mrejesho wa ziara ya siku 12 ya Tundu Lissu na mgombea mwenza kutafuta wadhamini iliyowafikisha mikoa 16 ya Tanzania bara mikutano mikubwa sana na wananchi.
Kila mkoa sheria ya uchaguzi inataka watia nia Urais kupata wadhamini wasiopungua 200 kutoka kila mikoa 10 ya Tanzania bara na Miwili ya Zanzibar.
Ziara hiyo imewaonesha kuwa upinzani umekua zaidi na una nguvu kuliko ulivyokuwa 2015.
Mkurugenzi wa Uchaguzi yeyote anayegoma kutoa fomu za uchaguzi ni kosa na hivyo msimamizi wa uchaguzi anastahili kufutwa kazi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi maana hawafai wala kutosha kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi.
CCM wana hofu ndiyo maana kunatokea matukio mengi ya kuingilia mchakato wa uchaguzi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa.
Mwaka 1958 mwl. Nyerere alihukumiwa kesi ya uchochezi ktk mahakama ya kihistoria ya Kisutu. Miaka 62 baadaye Tundu Lissu pia amekuwa mhanga wa kuitwa ktk Mahakama hiyo maarufu ya Kisutu na ametakiwa kutokea mbele ya Hakimu tarehe 26 Agosti 2020.
Siku ya tarehe 26 Agosti 2020 wamepanga nini mahakamani Kisutu, ni mwendesha mashitaka kuomba mbele ya Hakimu kuwa Tundu Lissu asomewe mashtaka mapya ili asipewe dhamana.
Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Hivi yule mshamba aliemuuliza mama mmoja "unataka upanuliwe wapi?" Kazuiwa kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari kwa matusi yake ya aibu?Akiacha kutumia lugha za matusi mbele ya cyombo cya habari watamrusha tu hewani tena MUBASHARA [emoji3166][emoji3166][emoji3166]
Huko utadhani kuna mashindano ya kuweweseka. Kila mmoja anaweweseka kivyakevyake kwa bidii na lugha yake.Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Huko utadhani kuna mashindano ya kuweweseka.Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Pouwa mkuu, Ila ni kweli Mimi nilienda kushangaa kile Mungu memponya mh wetuHuko utadhani kuna mashindano ya kuweweseka. Kila mmoja anaweweseka kivyakevyake kwa bidii na lugha yake.
[emoji3][emoji3]Asante mkuu,Magufuli ajitokeze ajibu mabeberu ni kina nani,tumechoka kuimbiwa nyimbo ,Kila uongo unaanikwa,ndio maana hawataki kabisa jina la Lissu lipite NEC
Tangu lini Mzee asiwe mtu?
Tangu lini mtoto akawa mtoto siku zote, naanza kuona jinsi unavyoishiwa kichwani na Ndiyo Maana unashobokea vitu vya kipumbavu ambavyo Kwanza havikuuusu, na ukiona Jambo la kipuuzi ukaamua likushughurishe kichwa, wewe ndo mpuuzi na mjinga
Mambo ya kipuuzi yakupite ili uwe mwelevu,
Mkuu nakuheshimu, kama umeshindwa kujiheshimu usinifutefuate tafadhari
Kwa sababu alichoeleza kuhusu media umetoka Kapaa...Simuoni kw tv
heri yako wewe ambaye ushapigwa risasi lakini huwa husemiLissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
Sawa mwl wangu Endelea kunifndisha, Ila usisahau kwamba umenifundisha nikafundishika, Tusidhalilishane na kutishana bhanaUkileta post za kihanithi ninakukatia shanga hadharani fasta.
Hata kama ni mimi lazima niziongelee ili wabaya wangu mzidi kuweweseka... Yaani magazine nzima halafu umeshindwa kunitoa uhai nisiongelee?Lissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa
17yrs hawapigi kura wewe.Ashikilie hapahapa!!! Mimi mwenyewe nilienda kushangaa hikihiki anachobisha, na Kura yangu haipati, Maana Kwa picha ni Lisu lakini ndani yake sivyo tumwonavyo
Kama ambavyo wewe huwezi kuzungumza bila kutaja makalio yako. Kila mtu ana kipaumbele chake anachoona kinamuuzaLissu hawezi kuzungumza bila kuongelea risasi zakeHawezi kwenda ikulu kwa kuwaeti alipugwa risasi 100 hakufa