PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Mahakamani ni kazini kwake, anajua haki zake, yupo huru akiwa Mahakamani kuliko may be hata Nyumbani kwake.

Yale unayosema ameropoka na hajavunja Sheria yoyote, Kama ungekua wewe Kwa mazingira Yale Mahakamani ungekaa kimya kama Bubu Kwa Uwoga huku Machozi yakikutoka Hilo sio kosa la Lissu.

Kwa aina ya Watu kama Lissu wanazaliwa Wachache sana, na hakuna kitu utafanya kumfunga Mdogo, coz yeye amezaliwa hivyo, kitu pekee unaweza kufanya Kwa Watu aina yake ni kumnyamazisha, na walijaribu ila Mungu akakataa...!
 

Kuropoka sio kuvunja Sheria lakini
 
Haya mambo ya kuandika "C" au "wnyw" yanaonesha ulivyo kitaaluma!
Nimetoka kumwambia mjukuu wangu wa kiume kuhusu huu ujinga wa kuandika "cc, c, ww, vp, mwl".

Nimemwambia mwanaume rijali katu hapaswi kuandika namna hiyo, hivyo huwa wanaandika wadada (au wanaume walioondoka kwenye kundi la wanaume) wa Tandale na Buza huko ambao kwao shule na kichwani hamna.
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Yeah, ni kama alipaniki hivi, ila ndo madhaifu yake, tumchukulie hivyo hivyo tu
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Uropokaji ni nini?
 
Moyo wangu umefurhi sana kumuona lisu
 
Sahihi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…