Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Alipopumzika Magufuli mkadai amekata pumzi, akipumzika Lissu ni ushujaaView attachment 1587510
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa , na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28 , Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2 .
Siro anakhofia kupoteza ugaliSirro anaogopa Haki, Uhuru na Maendeleo ya watu
Mpakwa mafuta mwana mzalendo halisi mfia nchi yake.Mungu amtunze.Amina.Hakika niyeye
Hiyo popote ni yako wewe,Sirro kamwambia sense Moshi ili kumkomoa.Popote tu pale ambako kuna watumishi wa Polisi Tanzania.
Bado sana ndo kwanza mziki unaanza msichoke kukata maunoHivi kuna ugumu gani jamaa zetu wa CCM kutamka wazi 'IMEKWISHA' na kukata roho kisiasa?
Mbona hilo lingetupunguzia malumbano yasiyo sababu hadi mataifa makubwa yanatujadili?
Kwaheri ukoloni Kwaheri CCM
Mwambie huyu mchawi wa Lumumba!!Wachawi hawaruhusiwi
Mnamjua Lissu vizuri au mnamsikia tu???Popote tu pale ambako kuna watumishi wa Polisi Tanzania.
Mkombozi wa Taifa!
Zikaishia kwenye kumuhonga asiseme chochoteMbio za mange zilikuwa kama hizi
Kawashauri hayo Nzi wenzio wa kipundupindu kwenye group lenu.Huyu anataka kutuaminisha kuwa wazungu wanatuwazia mema saana kuliko waafrica wenzetu.
Lissu kibaraka mkubwa wa white race to dominate African tumkatae kwa nguvu zote
Katiba mpyaAtakukomboa kutoka kwa kipi?...
Muwe mnasoma mnachoandika
Hivi kuna ugumu gani jamaa zetu wa CCM kutamka wazi 'IMEKWISHA' na kukata roho kisiasa?
Mbona hilo lingetupunguzia malumbano yasiyo sababu hadi mataifa makubwa yanatujadili?
Kwaheri ukoloni Kwaheri CCM
Katiba mpya
Mgambo wanaruka na kukanyagana....Nature bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utafauti wangu mimi na wewe, ni kuwa wewe ni mshabiki wa chadema mtandaoni wakati mimi ni mwanachama wa chadema mtaani. Hao kwemye picha karibu wote tunafahamiana na kama isingekuwa majukum niliyonayo leo basi ningeenda hapo kwa kuwa nilijua wataenda na niliambiwa...
Ccm inatumia nguvu za dolA kubaki madarakani
ccmchanelSasa kudanganya kutasaidia nini!!! Inaonyesha.. umeona huyo munamufata bila breki.. siyo ulidhani.. [emoji2][emoji2][emoji2] pole..
No ya dola ni fata sheria, kanuni na siwo maagizo ya wasio wa nchi hii..
Ila mwaka huu.. bora mujiunge tu na Jembe Magufuli mapemaaaaa