Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Tupo Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Watch this space!

#SasaBasi #TunduLissu2020 #NiYeye2020 #NguvuYaUmma https://t.co/euZt0gAHEt
IMG_20200826_154344.jpg
IMG_20200826_154601.jpg
IMG_20200826_154556.jpg
 
Nililisema hili jana. Nikasema:

Kwa hiyo kuna uwezekano Lissu anaweza kumuwekea pingamizi Magufuli siku ya kesho.

Hali hiyo itamlazimisha Magufuli arudi ofisi za Tume kujibu madai ya Lissu na hilo litawakutanisha mahasimu hao uso kwa uso. Juhudi za ziada zilitumika kuepusha hilo kwenye mazishi ya Mkapa, sioni kwenye hili kama wataweza kuzuia.

Hii inanikumbusha Ali vs. Foreman.

Uchaguzi huu utakumbukwa kwa vizazi vingi. Natumaini vurugu zikome tupambane kwa hoja na mbinu za amani za kisiasa.
 
Back
Top Bottom