Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Haahaa mmeanza kulialia eeh...
 
Sheria inasemaje ikiwa huyo rais anayetetea kiti chake atakosea kujaza fomu?
 
Haahaa ccm mmeanza kulia na bado
 
Hivi kwa akili zenu mnadhani kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
Ni dhahiri kuwa hoja zimewakaukia ndugu zangu.
Acheni kuendelea kujidanganya msije mkawa mnatetea aina za Chief Lebua Jonathan(Lesotho) aliyekuwa Waziri Mkuu.
Mwaka 1970 akiwa mgombea (alie madarakani) alipoona dalili kuwa uchaguzi haumwendei vizuri akaamua kuufuta, kusimamisha katiba na kumuondoa Mfalme Sobhuza II aliekua pia mkuu wa nchi.
 
Tukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!

Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.

Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
mbona hao 22 wenzao wa upinzani walienguliwa vilevile na wakabaki peke yao na kupitishwa bila kupingwa!

What goes around comes around
 
Kakuua wewe? Narudia tena shujaa pekee ni JPM. Huyo mnayemshabikia atashindwa kwa mbali na atakimbilia tena kwa mabwana zake
Kama wewe una mabwana zako ambao ukishindwa unawakimbilia, basi kila mtu siyo wewe!
 
Sasa hapa CCM itabidi wamuite Mtemi Chenge. Maana la sivyo wale vilaza wakiongonzwa na mwenyekiti wao watachanganyikiwa. Chenge pekee ndo kiboko ya Lissu.
Sio kiboko labda ....anaweza kushindana kidogo!
 
mbona hao 22 wenzao wa upinzani walienguliwa vilevile na wakabaki peke yao na kupitishwa bila kupingwa!

What goes around comes around
Kama wanapata maumivu makali JPM kuondolewa basi wabunge 22 warejeshwe.
 
Kama pingamizi ni zakisheria hivyo hivyo zitaisha kisheria kama sio kunogesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…