Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Haahaa mmeanza kulialia eeh...
 
Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa, hiyo ni Katiba ya JMTZ, huyo low IQ wenu anawadanganya na kuwapotosha, kwangu mimi ni Maajabu hata mnaweza ongozwa na kumfwata Binadamu kama huyo, hata simple logic hana, siajabu hata yeye ni kama wewe anaamini kweli kabisa kwamba Magufuli siyo Raisi wa JMTZ kwa sasa!
Sheria inasemaje ikiwa huyo rais anayetetea kiti chake atakosea kujaza fomu?
 
Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Haahaa ccm mmeanza kulia na bado
 
Hivi kwa akili zenu mnadhani kwamba Mgombea wa CCM ataenguliwa!
Ni dhahiri kuwa hoja zimewakaukia ndugu zangu.
Acheni kuendelea kujidanganya msije mkawa mnatetea aina za Chief Lebua Jonathan(Lesotho) aliyekuwa Waziri Mkuu.
Mwaka 1970 akiwa mgombea (alie madarakani) alipoona dalili kuwa uchaguzi haumwendei vizuri akaamua kuufuta, kusimamisha katiba na kumuondoa Mfalme Sobhuza II aliekua pia mkuu wa nchi.
 
Tukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!

Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.

Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
mbona hao 22 wenzao wa upinzani walienguliwa vilevile na wakabaki peke yao na kupitishwa bila kupingwa!

What goes around comes around
 
Kakuua wewe? Narudia tena shujaa pekee ni JPM. Huyo mnayemshabikia atashindwa kwa mbali na atakimbilia tena kwa mabwana zake
Kama wewe una mabwana zako ambao ukishindwa unawakimbilia, basi kila mtu siyo wewe!
 
Sasa hapa CCM itabidi wamuite Mtemi Chenge. Maana la sivyo wale vilaza wakiongonzwa na mwenyekiti wao watachanganyikiwa. Chenge pekee ndo kiboko ya Lissu.
Sio kiboko labda ....anaweza kushindana kidogo!
 
mbona hao 22 wenzao wa upinzani walienguliwa vilevile na wakabaki peke yao na kupitishwa bila kupingwa!

What goes around comes around
Kama wanapata maumivu makali JPM kuondolewa basi wabunge 22 warejeshwe.
 
Kama pingamizi ni zakisheria hivyo hivyo zitaisha kisheria kama sio kunogesha
 
Back
Top Bottom