Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Tukiwaambia chadema ni wajinga wanatokwa povu!

Wenzenu huku tayari wana wabunge 22 nyie bado mnahangaika kukagua form?
Mambo mengine ni ujuaji ambao hauna maana.

Kwahiyo anategemea kuna mtu ataenguliwa ili yeye abaki peke yake?
Haahaa wabunge was kusaidiwa na pccb na polis kuengua wagombea wa upinzani?
 
Umemaliza. AMEN
 
Wenzenu wako field saa hii wana majimbo 22 nyie mnahangaika na ujinga eti pingamizi?
Mkuu majimbo gani? Hayo ya kusaidiwa na polis na pccb kuondoa wagombea wa upinzani kwenye ofisi wakati wakirejesha fomu?
 
Mig Yaani hili boya kukaa Belgium miaka mitatu linaona linajuuuaa kila kitu,wengine tunaona Belgium kakijiji flani hivi ka waarabu na Bakongo.
Jenga hoja we pimbi kila siku drama,
Magu anateleza tu we kazana utengeneze cv,maana akili ya huyu mtu anadhani urais wa TZ sawa na urais wa TLS.
 
Kama wanapata maumivu makali JPM kuondolewa basi wabunge 22 warejeshwe.
Sio warejeshwe, hao waliokatwa wapewe ubunge, ndipo huyu arudishwe kwa mashariti kuwa akirudishwa akashinda basi Lisu awe waziri Mkuu. Hapo lazima biashara ya maana ifanyike!
 
Subiri baada ya oktoba utaambatana na Lisu kukimbilia kwa yulee beberu wenu
We ng'ombe endelea kupiga kelele mwenzako mpaka sasa anapokea $50,000 kila mwezi km manunuzi ya ndege tuliyofanya ndio maana ndege zimenunuliwa kwa usiri mkubwa na hakuna mtu anaeruhusiwa kuhoji......

Je ni nani huyoooo
 
Mkuu majimbo gani? Hayo ya kusaidiwa na polis na pccb kuondoa wagombea wa upinzani kwenye ofisi wakati wakirejesha fomu?
Me sijui kwanini hawa jamaa hawana akili au sisi tumezaliwa Dunia nyingine ?
Maana Sijawahi elewa akili zao wanazitumia wapi!
 
Moja kwa mojakwenye tittle. Ninachokiamini na ambacho hamtaamini nikwamba, Tanzania Bara yote inakwenda kuwa "a total Green!" kwa maana ya Wabunge wote kuwa waCCM.

Hii ni either JPM yupo au hayupo kwenye Kinyang'anyiro.

Swali ni hili, Lissu au Membe akishinda Urais, atafanyeje kazi ktk Mazingira kama haya??
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Ndio tatizo la nchi hii mtu akionekana ni mdadisi anaonekana ni kero?!! Utiifu wa watu wengi ni wa ki nafiki!! Tatizo la lisu ana akili za mabeberu, hana unafiki, anachokiamini ndio hicho, na ndio alivyozaliwa,
 
Na kuna wana ccm wengi wanashangilia sana kwa TL kumuwekea pingamizi mgombea wao na wanatamani aenguliwe
Hayupo mwana CCM wanamna hiyo hapa TZ labda aliwahi kuwepo nana yupo Chadema act cufflinks etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…