Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

aisee nimehangaika sana tangu mida kutafuta full hotuba ya lissu leo baada ya pingamizi naona vipande tu,msaada please
 
Tunazungumzia mtu kufungwa supa kwenye draft au kupigwa woshi kweny pool table ndio alichowafanyia Antipasi leo. Na ni aibu iliyo kuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaongelea pingamizi la kijinga la Kisu ambalo kesho kinatupwa kapuni?

Lisu angekuwa na akili angewasidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imeshashinda siyo hizo sifa anazotafuta hapo dodoma
 
Sasa kuna rais amabae ni malaika?

Lazima akikosea tu wenzie wanapeleka mswada wana mngoa.

Sio Lisu akiwa rais wakati anategemewa kupata si zaidi ya asilimia 20 ya kura na wabunge wasiozidi 10

Huueleweki Chief!

Pls make it in details as much as possible!

Ahsante!
 
Nilisha sema na ninaludia tena ukifunika sisi tunafunuwa adui mwombe njaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaongelea pingamizi la kijinga la Kisu ambalo kesho kinatupwa kapuni?

Lisu angekuwa na akili angewasidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imeshashinda siyo hizo sifa anazotafuta hapo dodoma
Awasaidieji wakati watu wanakaa na Takukuru na polisi kuwavizia watu wawapokonye form zao. Twende mwendo huu huu tutaelewana tu kidogokidogo.
 
Awasaidieji wakati watu wanakaa na Takukuru na polisi kuwavizia watu wawapokonye form zao. Twende mwendo huu huu tutaelewana tu kidogokidogo.
Basi endeleeni kushangilia pingamizi la lisu dhidi ya Magu
 
Huku sasa ni kutapa tapa. Ukishaona mtu kama huyu anaanza kuokoteza visababu vya kitoto kama hivi, ujue ameshaona muziki huu wa JPM hauwezi. Hapo ni kushindwa kabla hata ya pambano lenyewe.
 
Video kamili za mapingamizi ya Lissu dhidi ya Magufuli ambazo maudhui hayajakatwakatwa ni hizi hapa chini,

Sambaza nondo hizi ziwafikie wananchi wote, kwenye social media zote kama vile whatsapp, instagram, facebook, youtube n. k

PART 1
Your browser is not able to display this video.

PART 2
Your browser is not able to display this video.

PART 3
Your browser is not able to display this video.
 
Huna facts huwezi kushabikia ujinga nilikuwa namkubali huyu jamaa Ila kiuhalisia hana sifa za kupeperusha Bendera ya nchi ya Tanzania maana ni mropokaji ,kwake kila kitu ni makosa ,wajinga kama we we na wenzio ndo mtashikwa unavyowaza
Nisaidie kujua mkuu kosa la Lissu in nini hapa?
Nielezee tu kwa kifupi
 
Huku sasa ni kutapa tapa. Ukishaona mtu kama huyu anaanza kuokoteza visababu vya kitoto kama hivi, ujue ameshaona muziki huu wa JPM hauwezi. Hapo ni kushindwa kabla hata ya pambano lenyewe.

Mbona nyie mmetumia sababu za kuokoteza kujipatia majimbo 20, cha msingi jiwe aitwe akajieleze ikiwezekana akatwe tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku sasa ni kutapa tapa. Ukishaona mtu kama huyu anaanza kuokoteza visababu vya kitoto kama hivi, ujue ameshaona muziki huu wa JPM hauwezi. Hapo ni kushindwa kabla hata ya pambano lenyewe.
Mbona una mtusi waziri mkuu na spika wako ww VP mbona hivo
 
Kilaza katika ubora wako.unaona umeandika!
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…