nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
aisee nimehangaika sana tangu mida kutafuta full hotuba ya lissu leo baada ya pingamizi naona vipande tu,msaada please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaongelea pingamizi la kijinga la Kisu ambalo kesho kinatupwa kapuni?Tunazungumzia mtu kufungwa supa kwenye draft au kupigwa woshi kweny pool table ndio alichowafanyia Antipasi leo. Na ni aibu iliyo kuu.
Basi nae hafai twendelee na MaguThe end justfy the means.
Sasa kuna rais amabae ni malaika?
Lazima akikosea tu wenzie wanapeleka mswada wana mngoa.
Sio Lisu akiwa rais wakati anategemewa kupata si zaidi ya asilimia 20 ya kura na wabunge wasiozidi 10
Wabunge wa Lisu hawezi kuzidi 10,Huueleweki Chief!
Pls make it in details as much as possible!
Ahsante!
Awasaidieji wakati watu wanakaa na Takukuru na polisi kuwavizia watu wawapokonye form zao. Twende mwendo huu huu tutaelewana tu kidogokidogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaongelea pingamizi la kijinga la Kisu ambalo kesho kinatupwa kapuni?
Lisu angekuwa na akili angewasidia wagombea wake ambao majimbo yao ccm imeshashinda siyo hizo sifa anazotafuta hapo dodoma
Basi endeleeni kushangilia pingamizi la lisu dhidi ya MaguAwasaidieji wakati watu wanakaa na Takukuru na polisi kuwavizia watu wawapokonye form zao. Twende mwendo huu huu tutaelewana tu kidogokidogo.
Aende akajibu tuhuma zake la sivyo akatwe tu😂😂😂Basi endeleeni kushangilia pingamizi la lisu dhidi ya Magu
Huu ni mtego kwa tume kudhihirisha ile wanaita "tume huru"... Lissu is a brillia
Mkuu unafikiri Ruangwa hakukuwa na mgombea wa upinzani?Yeye kaanza asubir ccm wamalize [emoji1787][emoji1787][emoji1787]chedema msilie tu mana mchezo inaonekana mmeupenda
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Nisaidie kujua mkuu kosa la Lissu in nini hapa?Huna facts huwezi kushabikia ujinga nilikuwa namkubali huyu jamaa Ila kiuhalisia hana sifa za kupeperusha Bendera ya nchi ya Tanzania maana ni mropokaji ,kwake kila kitu ni makosa ,wajinga kama we we na wenzio ndo mtashikwa unavyowaza
Huku sasa ni kutapa tapa. Ukishaona mtu kama huyu anaanza kuokoteza visababu vya kitoto kama hivi, ujue ameshaona muziki huu wa JPM hauwezi. Hapo ni kushindwa kabla hata ya pambano lenyewe.
Mbona una mtusi waziri mkuu na spika wako ww VP mbona hivoHuku sasa ni kutapa tapa. Ukishaona mtu kama huyu anaanza kuokoteza visababu vya kitoto kama hivi, ujue ameshaona muziki huu wa JPM hauwezi. Hapo ni kushindwa kabla hata ya pambano lenyewe.
Hadi raha
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.