Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Zile saa nane ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu kwakwe.

Trust me wale wagombea wengine waliopewa kipaumbele na kuharibu ratiba wakaingia fasta wakapokelewa na kupitishwa haraka wamefanya makosa mengi ya kisheria na hili litawagharimu pakubwa
 
Kumbe hajawekewa pingamizi?
Hilo ni jambo la ajabu kuliko ajabu yenyewe. Tuliwaambia haya masharti na kanuni za ovyo ovyo eti pingamizi la ukurasa mmoja liwakoseshe wananchi mil60 nafasi ya kuchagua ni utopolo mkakataa.
 
Wewe unaweza kuona Lissu anatumia haki zake lakini tatizo hapo kama unaelewa ‘psychology’ ya impact za kukutana na ‘life changing events’ kama tukio la Lissu side effects ni rebellion na kutokukubali ukweli.

Lissu anatakiwa akubali Magufuli ni raisi wa Tanzania na ana nguvu kubwa kutokana katiba yetu. Kwenda kutembea na ma body guards wanakimbiza gari yake kama na yeye mtu muhimu akumuweki on equal na raisi wa Tanzania.

Kukataa hadharani hakuna kitu Magufuli amefanya hayo mambo yamefanywa na wakoloni ya kujenga miundombinu etc.

Kudhamiria kushinda uchaguzi kwa sababu ya kumshinda Magufuli ukisikiliza speech zake badala ya kwenda kuwatumikia watanzania.

Barua zake za ovyo zenye empty threats na dilusions za international community nyuma yake kwenye uchaguzi.

Ushahidi ni mwingi mpaka sasa serikali inafanya kazi ya ‘baby sitting’ tu amalizane na emotional issues zake; hila he is becoming erratic as days go anahitaji intervention huyo mtu kumsaidia kimawazo.
 
Kwa hiyo mema ya nchi ni "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" ?!.

Una shida sehemu wewe
 

..jiwe alimuwekea pingamizi kwa kumtwanga marisasi.
 
Tundu Anarukaruka tu kama maharage lakini ataiva na kuliwa tu
 
Comments reserved
 
Wewe jamaa nikikuita Ngumbaru nitakua sijakosea. Nani kakwambia Lissu anapambana na mkuu wa Nchi? .

Lissu hapambani na Mkuu wa Nchi bali mgombea wa CCM
 

..jiwe asingetuma wale watu haya mambo yasingetokea.

..anayepaswa kulaumiwa ni jiwe, siyo lissu ambaye ni victim.
 
Siku tatu zauhakiki wa fomu mtu katokea siku ya kukusanya fomu zikiwa hazija hakikiwa moja kwa moja ni luck of seriousness
 
Nimeelewa plan ya Lissu, kwamba kwa vile hakuna uwezekano wa Rais kuondolewa sababu ya pingamizi, basi na wengine wote watakaowekewa pingamizi watapona kwa mgongo huo.

Sikilizeni, Lissu ni genius

Ndiyo maana wasiojulikana walijiridhisha kuwa njia pekee ya kumshinda kwa hoja ni asiwe hai!
 
Magufuli lazima atepete safari hii,na ajue kwamba yeye ni mgombea tu kama wengine,Lissu anajua anachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…