matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Na yeye kama kawekewa akienguliwa msije kulialia humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile saa nane ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu kwakwe.Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Kumbe hajawekewa pingamizi?Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Wewe unaweza kuona Lissu anatumia haki zake lakini tatizo hapo kama unaelewa ‘psychology’ ya impact za kukutana na ‘life changing events’ kama tukio la Lissu side effects ni rebellion na kutokukubali ukweli.Umezoea status quo, ndo maana Lisu anakusuprise! Kwa taarifa yako; huwezi kufanya mambo yale yale kwa njia zile zile alafu ukapata matokeo tofauti, hata kama unatarajia matokeo tofauti! Zama zimebadilika, Wewe na mboga mboga yenu mnang’ang’ania ujima!
Kwa hiyo mema ya nchi ni "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" ?!.Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Lake secondary na Ilboru wapi na wapi ?Yule aliyekosea kujaza fomu na ni PhD tena mweshimiwa na akiwa majukwaani anaona wengine wote ni vilaza wa nchi
Tundu Anarukaruka tu kama maharage lakini ataiva na kuliwa tuTaarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020
UPDATE:-
Lissu - Tupo Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Watch this space!
View attachment 1548741
Comments reservedBaada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Wewe jamaa nikikuita Ngumbaru nitakua sijakosea. Nani kakwambia Lissu anapambana na mkuu wa Nchi? .Lissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!
Una akili wewe kanywe soda kwa mangi nitalipaNimeelewa plan ya Lissu, kwamba kwa vile hakuna uwezekano wa Rais kuondolewa sababu ya pingamizi, basi na wengine wote watakaowekewa pingamizi watapona kwa mgongo huo.
Wewe unaweza kuona Lissu anatumia haki zake lakini tatizo hapo kama unaelewa ‘psychology’ ya impact za kukutana na ‘life changing events’ kama tukio la Lissu ni rebellion na kutokukubali ukweli.
Lissu anatakiwa akubali Magufuli ni raisi wa Tanzania na ana nguvu kubwa kutokana katiba yetu. Kwenda kutembea ma body guards wanakimbiza gari yake kama na yeye mtu muhimu akumuweki on equal na raisi wa Tanzania.
Kukataa hadharani hakuna kitu Magufuli amefanya hayo mambo yamefanywa na wakoloni ya kujenga miundombinu etc.
Kudhamiria kushinda uchaguzi kwa sababu ya kumshinda Magufuli badala ya kwenda kuwatumikia watanzania.
Barua zake za ovyo zenye empty threats na dilusions za international community nyuma yake kwenye uchaguzi.
Ushahidi ni mwingi mpaka sasa serikali inafanya kazi ya ‘baby sitting’ tu amalizane na emotional issues zake; hila he is becoming erratic as days go anahitaji intervention huyo mtu.
Kampeni zimeanza leoKampeni na zianze tu tumechoka na haya mambo kwa kweli
Siku tatu zauhakiki wa fomu mtu katokea siku ya kukusanya fomu zikiwa hazija hakikiwa moja kwa moja ni luck of seriousnessZile saa nane ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu kwakwe.
Trust me wale wagombea wengine waliopewa kipaumbele na kuharibu ratiba wakaingia fasta wakapokelewa na kupitishwa haraka wamefanya makosa mengi ya kisheria na hili litawagharimu pakubwa
Nimeelewa plan ya Lissu, kwamba kwa vile hakuna uwezekano wa Rais kuondolewa sababu ya pingamizi, basi na wengine wote watakaowekewa pingamizi watapona kwa mgongo huo.
Magufuli lazima atepete safari hii,na ajue kwamba yeye ni mgombea tu kama wengine,Lissu anajua anachokifanyaLissu kazidi upumbavu,hivi vitu vidogo ka hivyo ni vya kuanza kuita press na kuweka charges...
Hiyo energy angesave kwaajili ya kampeni ingekua poa...
Sasa hajaenda mahakaman kisa exhaustion then anaonekana energetic akipambana na Mkuu wa nchi....akili ya huyu jamaa ni ndogo asee..
Ama anatafta njia akatwe apate sababu.
Lissu anazingua,Wakili msomi lakini kichwani zeho!