Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Unaogopa Baba la Baba kajaza maujinga kwenye fomu zake? /subirini sindano iwaingie. Nyie si mmekosa mahali pa kumkamatia? Nasikia kule Mara kuna watu walirudisha fomu 24/08/2020 badala ya jana..
 
kuna mtu katafuta kiki for 5 bloody years.... Lissu kaikamata nchi ndani ya mwezi mmoja tu watu tayari jamba-jamba.
ndio mjue hizo SGR & Stiegler's Gorge zenu Lissu akiamua kuzijenga hawezi kuchukua miaka yote 15 ambayo JPM anahitaji.

mwacheni mwanaume wa ukweli awanyooshe, mlizoea vya kunyonga shubaaamit!
 
Una uhakika ya kwamba haujachanganyikiwa ndugu mjumbe?😂😂😂😂
 
..jiwe asingetuma wale watu haya mambo yasingetokea.

..anayepaswa kulaumiwa ni jiwe, siyo lissu ambaye ni victim.
Kilichotokea kimetokea nani kafanya binafsi sijui. Muhimu kwa sasa ni Lissu akamilishe matibabu yake ya kiakili ili aweze endelea na maisha yake without having to live deal mental torture on daily basis.
 
..jiwe asingetuma wale watu haya mambo yasingetokea.

..anayepaswa kulaumiwa ni jiwe, siyo lissu ambaye ni victim.

Anauwa Chama chenu lakini, Magufuli ni Raisi wa JMTZ na mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, kuanzisha Vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ni ujuha, ni watu low IQ ndio wanaweza kufanya hivi, ...
 
Mecco lazima atemeshwe MICHEMSHO YA CHAMWINO.
 
Alisema endapo atawekewa mapingamizi nayeye ataweka mapingamizi napenda kula ugali na mboga
 
Uko sahihi nchi hi bila Kiki hatuendi hata Mzee baba na wafuasi wake wote huwa wanatafuta Kiki tu maana hata ukiangalia tv zote zipo kwao
 

Siyo kuwa anafanya yote ambayo ni haki yake katika mazingira magumu kwa sababu ya wachawi nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…