Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Una akili wewe kanywe soda kwa mangi nitalipa
Asante, uko powa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili wewe kanywe soda kwa mangi nitalipa
Sasa kwanini hawakuruhusu kule majimboni kwa nape waziri mkuu na ndugaiShida inakuja watoa maamuzi/hukumu ndio wale wale...
Vipengele vimezidi wangeachwa watu waanze kampeni uwoga ukizidi nayo ni hatari
Unaogopa Baba la Baba kajaza maujinga kwenye fomu zake? /subirini sindano iwaingie. Nyie si mmekosa mahali pa kumkamatia? Nasikia kule Mara kuna watu walirudisha fomu 24/08/2020 badala ya jana..Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
kuna mtu katafuta kiki for 5 bloody years.... Lissu kaikamata nchi ndani ya mwezi mmoja tu watu tayari jamba-jamba.Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Sikilizeni, Lissu ni genius
Ndiyo maana wasiojulikana walijridhisha kuwa njia pekee ya kumshinda kwa hoja ni asiwe hai!
Una uhakika ya kwamba haujachanganyikiwa ndugu mjumbe?😂😂😂😂Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Kilichotokea kimetokea nani kafanya binafsi sijui. Muhimu kwa sasa ni Lissu akamilishe matibabu yake ya kiakili ili aweze endelea na maisha yake without having to live deal mental torture on daily basis...jiwe asingetuma wale watu haya mambo yasingetokea.
..anayepaswa kulaumiwa ni jiwe, siyo lissu ambaye ni victim.
Who told you kilaza?Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
..jiwe asingetuma wale watu haya mambo yasingetokea.
..anayepaswa kulaumiwa ni jiwe, siyo lissu ambaye ni victim.
Mecco lazima atemeshwe MICHEMSHO YA CHAMWINO.Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020
UPDATE:-
Lissu - Tupo Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Watch this space!
View attachment 1548741
Alisema endapo atawekewa mapingamizi nayeye ataweka mapingamizi napenda kula ugali na mbogaWakati Lissu ameweka wazi kuwa ameweka pingamizi/mapingamizi, naomba nitabiri tu kuwa kitachotokea katika kuamua juu ya mapingamizi hayo, ni mapingamizi hayo ya Lissu na ya wagombea wengine(kama yatakuwepo), yote yatatupwa.
Lissu ni kioona mbali na anajua afanye nini katika wakati sahihi.
Mshindi hapa atakuwa ni nani,nakuachia msomaji.
Uko sahihi nchi hi bila Kiki hatuendi hata Mzee baba na wafuasi wake wote huwa wanatafuta Kiki tu maana hata ukiangalia tv zote zipo kwaoBaada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Naona ile furaha ya wabunge wakuteuliwa kina nape na majaliwa imekutoka haflaMnapo kosea CHADEMA ni hapo hapo na huwa mnafeli kweli kweli tena kwa aibu kuu.
Huyu jamaa ni kilaza sijapata kuonaUnaandika pumba kabisa iv umefika ata darasa la tatu???
Baada ya kushindikana kupatikana kwa kiki ya kukamatwa na mahakama pamoja na kiki ya kuwekewa pingamizi au kufutwa kugombea uraisi, sasa ameona akatimue vumbi kwenye jumba la uchaguzi. Watanzania tuwe makini na watu wanaoshabikia hizi vumbi za Lissu, hawaitakii mema nchi yetu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Hiyo ndiyo inaitwa kutufunga mtatufunga, ila chenga twawalaPale unapoweka mapingamizi huku ukijua fika yatatupiliwa mbali .
Hiyo ni counter measure tu😎😃,just incase kuna mtu alipeleka pingamizi dhidi yake kwa email.Mimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi