Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye π―/π―!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
TBC wamekuwa smart Kwa kuhakikisha wanashiriki Press Conference ingawa Kwa hakika hawataitangaza.Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye [emoji817]/[emoji817]!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Kwani Wizara ya Mambo ya Nje ilisemaje kwenye operesheni ya Makonda???Sasa ni rasmi Chadema ni watetezi wa Ushoga
Kwani Wizara ya Mambo ya Nje ilisemaje kwenye operesheni ya Makonda??? Kawauliza Embu mjibuniAmekwepa swala kisiasa, anaelewa vyema nini ameulizwa. Ishu hapo sio faragha ya mtu. Kwaio vipi, akiwa yeye rais manake Tanzania tutaruhusu ndoa za jinsia moja? Kufunga ndoa sio faragha, kufunga ndoa kunahitaji mashahidi ili ndio ihalalishwe, ikiwa kidini ikiwa kiserikali.
Atwambie je ataruhusu ndoa za jinsia moja?
Maseneta waliomsindikiza lissu marekani ni maseneta watetezi wa ushogaKwani Wizara ya Mambo ya Nje ilisemaje kwenye operesheni ya Makonda???
Nijibu swali langu, Wizara ya Mambo ya Nje ilisemaje juu ya operesheni ya Makonda???Maseneta waliomsindikiza lissu marekani ni maseneta watetezi wa ushoga
Dah huyu jamaa tayari Ni raisi??= au rais??
Kwa hiyo kama waziri aliukubali ushoga na nyinyi mnaukubali??Nijibu swali langu, Wizara ya Mambo ya Nje ilisemaje juu ya operesheni ya Makonda???
Kwani nani anataka ndoa za jinsia moja?Amekwepa swala kisiasa, anaelewa vyema nini ameulizwa. Ishu hapo sio faragha ya mtu. Kwaio vipi, akiwa yeye rais manake Tanzania tutaruhusu ndoa za jinsia moja? Kufunga ndoa sio faragha, kufunga ndoa kunahitaji mashahidi ili ndio ihalalishwe, ikiwa kidini ikiwa kiserikali.
Atwambie je ataruhusu ndoa za jinsia moja?
Najua mna hamu ya kulegezwa viuno sana, ila hapa tz bado hadi mbaki vizazi vya shetani msio muogopa mungu ndo muyafanye hayo kwa uhuruKwani wewe huwa unaingiliwa kinyume barabarani?
Kwani wapi waziri aliukubali??? Alafu sio waziri sema serikali, waziri aongei tamko binafsi anatoa msimamo wa serikaliKwa hiyo kama waziri aliukubali ushoga na nyinyi mnaukubali??
Magu amevuja mingapi mpaka sasa five good years? Ukiwa na akili kisoda au za kiccm huwezi muelewa Lissu
Inawezekana huko alikokuwa tayari keshaionjaHaha hii sera imemkaa moyoni Lisu,
Anaipenda Sana.
PoleTaja aliyovunja hata moja