Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

Status
Not open for further replies.
Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye 💯/💯!

Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.

Iachane na mambo ya faragha za watu.

Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.

tukubaliane tuwanaotumia jina mabeberu hawajui wanalo ongelea kiasi kwamba hata kutaja nchi hawawezi. Ukisema beberu ukashidwa kuwataja basi wewe ni mbuzi jike
 
Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye [emoji817]/[emoji817]!

Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.

Iachane na mambo ya faragha za watu.

Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.

TBC wamekuwa smart Kwa kuhakikisha wanashiriki Press Conference ingawa Kwa hakika hawataitangaza.

In case akiwa Rais wanazo Press conference zake kwenye Maktaba, watamwambia Mkuu si unajua tulipigwa Marufuku kukutangaza.

Akina ITV na Azam sioni hata Mic zao hapo..
 
Jamaa unanifurahisha sana. Unawashinda hata Chadema media kutuhabarisha mapya la Lissu. Shukrani Mkuu.. wacha tutazame yaliyojiri leo kwenye link yako hapo. Naona ametuomba tumjoin hiyo siku ya Kisutu. Tutakuwa nae pamoja Mh TL (Rais mtarajiwa wetu).
 
Amekwepa swala kisiasa, anaelewa vyema nini ameulizwa. Ishu hapo sio faragha ya mtu. Kwaio vipi, akiwa yeye rais manake Tanzania tutaruhusu ndoa za jinsia moja? Kufunga ndoa sio faragha, kufunga ndoa kunahitaji mashahidi ili ndio ihalalishwe, ikiwa kidini ikiwa kiserikali.

Atwambie je ataruhusu ndoa za jinsia moja?
 
Kwani Wizara ya Mambo ya Nje ilisemaje kwenye operesheni ya Makonda??? Kawauliza Embu mjibuni
 
Amekwepa swala kisiasa, anaelewa vyema nini ameulizwa. Ishu hapo sio faragha ya mtu. Kwaio vipi, akiwa yeye rais manake Tanzania tutaruhusu ndoa za jinsia moja? Kufunga ndoa sio faragha, kufunga ndoa kunahitaji mashahidi ili ndio ihalalishwe, ikiwa kidini ikiwa kiserikali.

Atwambie je ataruhusu ndoa za jinsia moja?
Kwani nani anataka ndoa za jinsia moja?

Na suala la ndoa Tanzania halina fasili yake kwenye sheria?
 
Kwani wewe huwa unaingiliwa kinyume barabarani?
Najua mna hamu ya kulegezwa viuno sana, ila hapa tz bado hadi mbaki vizazi vya shetani msio muogopa mungu ndo muyafanye hayo kwa uhuru
Ila kwa sasa tutawabana tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom