Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

Doa moja baya sana kuitumia polisi kwa masuala ya kisiasa.

Tuliaminishwa kuwa kuwa upinzani ni jinai kwa Taifa.

Vyombo vya usalama vimeishi kwenye hizi siasa za kinyama maisha yao yote
 
CCM na serikali hawajawahi kujibu hoja na tuhuma za Lissu hivyo kusema anachonganisha ni kukwepa hoja za msingi.

Kitu kinachoitwa maridhiano ni kiinimacho kafanyiwa Mbowe.

Watanzania tunahitaji muafaka wa kitaifa. Malalamiko yasikilizwe wahusika wajieleze na hatua zichukuliwe
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana
MHUBIRI 3

1 Kila kitu kina majira yake,
kila jambo duniani lina wakati wake:
2 Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa;
wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa;
3 Wakati wa kuua na wakati wa kuponya;
wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga;
4 Wakati wa kulia na wakati wa kucheka;
wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza;
5 Wakati wa kutupa mawe na wakati wa kuyakusanya mawe pamoja;
wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia;
6 Wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza;
wakati wa kuhifadhi na wakati wa kutupa;
7 Wakati wa kurarua na wakati wa kushona;
wakati wa kukaa kimya na wakati wa kuongea;
8 Wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia;
wakati wa vita na wakati wa amani.
 
Hata wahusika wakipatikana bado watadai walitumwa na jiwe.
 
Asiogope kwa kuwa bwana alishapitisha upanga wake na tayari bwana yule alishalala yo.
 
MAGUFULI alikuwa Jini lakini MUNGU NI FUNDI AKAMTEGUA ROHO
 
 
Hivi lile shetani kuna mtu aliwahi kulichunguza kuona halikuwa na mkia! ? Mama Janet tuambie tunajua ulilazimisha kulirudia baada ya kupewa urais. Pole sala
 
punguzeni maneno makali Basi wakuu,uzi unaanza kuharibika huu Sasa,naona umejaa matusi tuuuuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…