Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

Tupangiwe zamu za kupiga fimbo kaburi lake
 
Aliyeruhusu kutoka central police ni huyo Naibu Balozi? Maana polisi siyo sehemu ya ubalozi na polisi wangeamua kumshikilia huyo Naibu Balozi angefanyaje? Wakati mwengine huyu jamaa yenu achuje mambo kabla ya kuongea. Kama watu wameamua kwenda mbele afocus mbele. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wangemshikilia huyo naibu wangafanyiwa alivyofanyiwa idi Amin wa uganda na wa Israel
 
Watu wa Ikungi walilia sana wakati Lissu anawaonyesha makovu juzi. Pia walicheka sana siku aliporudi Ikungi. Mwaka 2020 walilia na kusali sana kumshukuru Mungu Lissu kurudi!

Ilikuwa walie sana Sept 7, 2017, lakini walilia kiasi tu, wakasali sana!

Inaelekea either wanalia kwa furaha au huzuni, lakini lazima walie. Pia wanasali sana kumuomba Mungu amponye, au wanasali sana kumshukuru Mungu kwa kumponya, na kumuomba Mungu amlinde. Stori ya Lissu ni stori ya ajabu ya Kisiasa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…