Tembelea kwenye misiba utajua akina nani wanaomboleza japo kuna ambao hawahusiani wanaotumiwa kama kingaKawaingizaje wafuasi wa chadema wakati hata uchaguzi hawakushiriki? Na viongozi wote wa juu walikuwa ndani? Na hawakutoa kauli yeyote ile acheni kuwasingizia chadema Kwa maovu yenu.
Kwahiyo TEC inaweza kuingiza viongozi na kushiriki uchaguzi kama ilivyo ccm na chademaMnataka kujimilikisha siasa?Siasa inagusa maisha ya kila mtu bei ya petrol ikipanda haijali wewe ni wa dini gani au chama gani acheni upumbavu
Hiyo haiwezi kuzuia kuzungumzia siasa kwamba kwenye aya machafuko ya 29 waumini wangapi wamefariki TEC au Bakwata siasa ni maisha msitake kujimilikisha siasa imeanza dini ndo zikaja siasaKwahiyo TEC inaweza kuingiza viongozi na kushiriki uchaguzi kama ilivyo ccm na chadema
Sijataja ccm bali nimemtaja Samia kuwaingiza wenzake chaka kama ambavyo unamuhusisha Lissu kwa kilichotokea 29oct.Alooh wewe kichwa chako ni kigumu Sana kuelewa sasa kwenye hii hoja yangu raisi anahusikaje au ccm kwa ujumla inahusikaje?
Ni wewe ndio unaona wanachokizungumza ni siasa ndio maana unataka wajisajili kama chama cha kisiasa.Wajilasmishe kabisa kuwa wanasiasa sio kutumia mwamvuli wa dini
Ndio waache kuabudu na mambo mengine kucha kutwa uchaguzi sijui maridhiano matamko kibao si wajisajili tujue mojaHiyo haiwezi kuzuia kuzungumzia siasa kwamba kwenye aya machafuko ya 29 waumini wangapi wamefariki TEC au Bakwata siasa ni maisha msitake kujimilikisha siasa imeanza dini ndo zikaja siasa
Kikubwa ujumbe mwandiko hata konokono anao!Huu ndio mwandiko wa Tundu Lissu?
Namimi siongelei Samia wala ccm naongelea Lissu aliembagaza mbowe kumshutumu anapeleka watu kwenye uchaguzi ili wakauawe badala yake yeye ndio kawapeleka kwenye jahanam mamia ya wafuasiSijataja ccm bali nimemtaja Samia kuwaingiza wenzake chaka kama ambavyo unamuhusisha Lissu kwa kilichotokea 29oct.
Wewe unaona wanazungunza nini tofauti na siasaNi wewe ndio unaona wanachokizungumza ni siasa ndio maana unataka wajisajili kama chama cha kisiasa.
Umeelezwa sana kuwa Lissu hausiki na waliyokuwa wakiandamana sio wafuasi wa chadema, ndio maana nimekutajia mtu aliyewapeleka wenzake wakauwawe ni Samia ambaye aliwaambia 29oct watoke tu wakapige kura hakuna shida yeyote kuna usalama yeye ndio Amiri jeshi mkuu ila nini kikatokea?Namimi siongelei Samia wala ccm naongelea Lissu aliembagaza mbowe kumshutumu anapeleka watu kwenye uchaguzi ili wakauawe badala yake yeye ndio kawapeleka kwenye jahanam mamia ya wafuasi
Akawaleta wa nchi jiraniHaihitaji hata cheti cha std7 kujua kuwa kwanini uchaguzi huu uligubikwa na maandamano labda uamue kujizima data
Ila kila mtu anajua kuwa NrNe ndio chanzo cha maandamano wakati wa uchaguzi
Kwani walioko huko kanisani ni wajinga wasiojua lolote? Walipokuwa wakipewa elimu ya ukimwi huko kanisani waliacha kumuabudu Mungu? Ni jamii gani isiyojadili mazingira yao, au wao ni maroboti wa kumuabudu Mungu tu bila kujua lolote nje ya huyo Mungu?Siku hizi mnafanya uchaguzi kwenda mbinguni sio kumuabudu mungu yesu tena
Tembelea misiba uone nani anaombolezaUmeelezwa sana kuwa Lissu hausiki na waliyokuwa wakiandamana sio wafuasi wa chadema, ndio maana nimekutajia mtu aliyewapeleka wenzake wakauwawe ni Samia ambaye aliwaambia 29oct watoke tu wakapige kura hakuna shida yeyote kuna usalama yeye ndio Amiri jeshi mkuu ila nini kikatokea?
Hiyo si kati ya hoja zangu wote tunajua ccm inavyofanyaga kushinda uchaguzi ila huyu anaewahisha ukombozi ametuaminisha safari hii haitakufa hata mbu kisa uchaguzi maana hawatashiriki bila reforms matokeo yake wameuawa hata wasio husika na watu wanakula mema ya nchiAkawaleta wa nchi jirani
Samia muuaji periodHiyo si kati ya hoja zangu wote tunajua ccm inavyofanyaga kushinda uchaguzi ila huyu anaewahisha ukombozi ametuaminisha safari hii haitakufa hata mbu kisa uchaguzi maana hawatashiriki bila reforms matokeo yake wameuawa hata wasio husika na watu wanakula mema ya nchi
kobaz hiloYaani Watu kuawa ni hoja. ...!!? Watu wengine akili yenu mnaijua wenyewe.
Kanisani kuna waumini wa dini sio wanasiasa kuna taasisi za kidini sio vyama vya siasa elewa kidogoKwani walioko huko kanisani ni wajinga wasiojua lolote? Walipokuwa wakipewa elimu ya ukimwi huko kanisani waliacha kumuabudu Mungu? Ni jamii gani isiyojadili mazingira yao, au wao ni maroboti wa kumuabudu Mungu tu bila kujua lolote nje ya huyo Mungu?
Hapana hapo unakosea sana hata kama wewe ni baba na unafanya makosa huwezi kuacha kumkana na kumwadhibu mwanao eti kwa kua na wewe una makosa ..Serikali tumeiweka sisi na tunalipa kodi ni wajibu wa kila mwananchi kukemea uchafu wote unaofanywa na serikali ..Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
Ambao hao waumini wako tayari hata uchaguzi wa kishenzi ukifanyika ama?Kanisani kuna waumini wa dini sio wanasiasa kuna taasisi za kidini sio vyama vya siasa elewa kidogo
Haki yao ni kusikiliza sera za vyama vya siasa na kwenda kuchagua ambae wamemuelewa sio kufanya mapinduzi labda kama wanataka Tanzania iwe kama Italia inaongozwa kidiniAmbao hao waumini wako tayari hata uchaguzi wa kishenzi ukifanyika ama?