Subiri utaijua NEC ni naniWaliyataka wenyewe,agenda zote wamempa wenyewe.Mteke watu,mfunge wengine jela kwa kuwasingizia/kuwaonea,mnashambulia kwa risasi na mapanga halafu mkiambiwa mnadai kaanza kampeni? Mbona CCM imefanyiwa Tamasha,Imezindua nyimbo za kampeni,kongamano la wenye Dini zao ambazo zimeruhusiwa kuchanganyikana na siasa za CCM Mpya hamwezi kuona kuna tatizo ila kwa Mh.Lissu mnachonga midomo.Mnatishia kumkata,kateni muone kitakachofuatia.
Kuna mtu moja alisikia kiahidi kama ataongezewa mitano atageuza Tanzania kama ulaya kisha akagawa minoti bila woga ahadi hewa zisizotekelezeka swali langu menyekiti alikua natafuta wadhamini au likua anapiga kampeni?Ndugu zangu,
Kipekee, napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai siku ya leo.
Mh. Tundulisu namfuatilia kwa umakini sana, tangia aanze kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini, ni kama vile anafanya kampeni tayari. Japo mimi siyo mwanasheria, ila kwa kumsikia tu, ndugu huyu anafanya kampeni tayari. Na kwa kadri siku zinavyooendelea ndiyo anazidi kujinadi kabisa...
Kejuu,
Huyu ndo Lissu kama Lissu!!! Umesikia hoja hizo zilivyo zamoto? Mtamwezea wapi?
Lazima mvue nguo mwaka huu. Eti Lissu hana hoja, akitema madini mnakimbilia kaanza kampeni. Na bado CCM mtaongea lugha zote mwaka huu! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We unaonaje?Kuna mtu moja alisikia kiahidi kama ataongezewa mitano atageuza Tanzania kama ulaya kisha akagawa minoti bila woga ahadi hewa zisizotekezeka swali langu menyekiti alikua natafuta wadhamini au likua anapiga kampeni?
Kwakutumia machoWe unaonaje?
Acha tu hawa jamaa wao na lissu chochote atakachofanya lazima wajambe cheche,tushawaambia wawe na hedex,panadol,pedzinc nyumbani muda wote maana wataumwa vichwa na matumbo ya kuhara sana kipindi hiki.Nyie si mmefanya tamasha la wavuta bange pale uwanja wa mkapa, tena na leo wale watoza sadaka waliitisha kongamano la kumpongeza mgombea wenu au?
Mbona mnawashwawashwa sana na Lissu?
Sawa mkuu, goodnightKwakutumia macho
Hivi mnawaonaje watanzania? Mtanzania gani atashawishiwa na hao wasanii wenu uchwara?Moravia nguo nyie aisee. Huku wasanii huku viongozi wa dini zote mtaponea wapi?
Endelea kuweweseka tu!! Ushauri wangu kwako, meza panadol tu ulale. Spana za Morogoro na Iringa leo si za kitotoNdiyo hawa wanataka ikilu, are you serious guys?
Mkuu, goodnight ndungu yangu, maana hujengi hoja ya uziEndelea kuweweseka tu!! Ushauri wangu kwako, meza panadol tu ulale. Spana za Morogoro na Iringa leo si za kitoto
Lissu akikatwa na Magu anakatwa..We jitoe ufahamu, atakatwa yule, amejifanya much know, kawaingiza chaka nguli wa sheria, katoa bonge la boko
Inawezekana hujausoma vizuri uzi wangu mkuu
Kazi za NEC ndiyo hizo za kukata wagombea?Kwa nini NEC inaonekana kushinikizwa kumkata Mh.Lissu?Ajabu ni kuwa wao pia wanajiandaa kutekeleza matakwa ya wateuzi wao.Subiri utaijua NEC ni nani
Siyo kampeni hiyo bali anafanya siasa.
Na haki ya kufanya siasa ipo kwa mujibu wa katiba.
Haki hiyo ya kufanya siasa na freedom of speech and right to assembly haiondoki kwa ratiba za NEC
Katiba ya nchi imempa mtu haki ya KUCHAGUA na KUCHAGULIWA, na vigezo vya mtu kuchagua au kuchaguliwa vimeelezwa vizuri kwenye katiba.
NEC haina power za kumnyima mwananchi haki ya kisheria ya kuchagua au kuchaguliwa kwa kutumia vikanuni uchwara ambavyo havina uzito wowote juu zaidi ya kikatiba na sheria!